mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,807
- 45,693
Big up sana, Mungu ni mwema kila wakati
Big up sana, Mungu ni mwema kila wakati
Sisemei kwa dar kwa huku kwetu wanajenga tuLabda ukajenge Kijijini ndani ndani huko...
Tutapostiana PM vimijengo vyetu huku tukinywa tigwa taratiiibMi naamini akiweka madirisha ya dril kisha akaweka nyavu ya kuzuia mbu tu vioo ataweka baadae
Mi mwaka huu lazima nijenge wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
Eheeee lakin nasikia mpaka upate fundi mzuri sana kuweka hidden roof
Loh, lak 8!!!! Heri nlale gariniIle laki nane ya kodi kumpa mwenye nyumba inauma [emoji23]
Sikukatishi tamaa.Ila hiyo nyumba ni lazima iwe ya maboksi ya kuokoteza madukani kwa wahindi.Such a freak!😂😂😂😂😂Wakuu,
Naomba mnisaidie,
Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.
Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-
I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)
Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)
Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)
Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40
Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)
Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m
Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)
AsanteniView attachment 999854
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimesafiri nipo dom lakin soon nitarudi MwanzaHhahaha haya wewe mama G.
Nilikuambia lakini uje tule nyama hapo The Cast umedengua hadi leo kimya, mi naondoka zangu mapemaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bei hiyo labda ukajengee kondoa
Kwa bei hiyo labda ukajengee kondoa
Asante mamy kwa kunipa tumaini maana nilimuuliza jamaa yangu kanikatisha tamaa haitoshi kabisaa labla niwe na m20.Kwa kweli mimi nikiwa na milioni kumi najenga nyumba ya vyumba vitatu self container,jiko,inaisha vizuri finishing yotee hadi na kuvuta maji au kuweka umeme,lakin ukitaka kasiri milioni kumi haitoshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaipangisha kabisa,unaikarabati vyema unapangisha unaanza kujilipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe akukute!! Utamwambia eti? Haya nipo safarini hapa Naenda dar, leo usiku ntakuwa dodoma!! Kuja hapa wewe kibibi cha rock city huyo G asamehewe kidogooSasa nimesafiri nipo dodoma lakin soom nitarudi Mwanza
G atanichinja kukutana na wanaume we Trump usiniletee mabalaa mie
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee uujenge ndogo usitake kujenga jumba kubwa la kuisha miaka 30 utajutaaa,jenga kwanza nyumba nzuri ya ndogo uhamie kuepuka kodi hiziAsante mamy kwa kunipa tumaini maana nilimuuliza jamaa yangu kanikatisha tamaa haitoshi kabisaa labla niwe na m20.
10m nyumba ya vyumba vitatu ni ngumu sana kujenga. Ukitahidi sana 18-20m
Tofali za kuchoma shida yake siku hizi zinachomwa kwa pumba na sio miti. Uimara wake sio mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shaka unajua wengine tumetokea familia za umaskin tunajua bajet na mambo ,nishaweka nia lazima nifanye mkuuMkuu, sijawahi kutuo Likes humu kama nilivyokutolea wewe. Kila kitu unachosema nakubali tu! Ubarikiwe sana, Mama Sabrina na usisubiri mwisho wa mwaka kujenga. Anza tu na uliyo nayo na pole pole Mwenyezi Mungu atakufanyikisha, Inshallah!
Na akishainywea bia atajuta bora ajengeWewe kama unayo 3m anza kama unavyodai, chumba, chumba sebule, open kitchen na dining, pubilc toilet...angalia utafikia wapi, ukikwama siyo mbaya, nenda kachange tena uje umalizie boma lako, ila ukianza kupiga mahesabu ndugu hiyo hela utainywea bia tu...
Utafika tu..