Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Mkuu wewe ni fundi,umeelezea vizuri sana aisee,...Ila hapo kwenye umeme nadhani umezididsha sifuri moja..Ila mchanganuo bomba sana
 
Usiposimamia utashangaa nyumba hiishi na unaambiwa tu kujenga gharamaa kubwaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfn, ndg yangu mmoja alikua anapigiwa hesabu, mawe trip laki na 60.. Huku in reality ni 110. Hapo tofauti ni 50. Trip 10 ni 500,000. Ambazo ni trip 10 za mchanga. Nikamwambia acha usnge wa kukaa ofisini tu na kupiga sim. Ingia field. Aliokoa hela nyingi sana baada ya kuanza kufuatilia mwenyewe.

Umeona sasa watu wizi sana,mi nitanunua kila mwenyewe hakuna kuagiza na kusimamia juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfn, ndg yangu mmoja alikua anapigiwa hesabu, mawe trip laki na 60.. Huku in reality ni 110. Hapo tofauti ni 50. Trip 10 ni 500,000. Ambazo ni trip 10 za mchanga. Nikamwambia acha usnge wa kukaa ofisini tu na kupiga sim. Ingia field. Aliokoa hela nyingi sana baada ya kuanza kufuatilia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu wana tutisha tu.
 
Wewe kama unayo 3m anza kama unavyodai, chumba, chumba sebule, open kitchen na dining, pubilc toilet...angalia utafikia wapi, ukikwama siyo mbaya, nenda kachange tena uje umalizie boma lako, ila ukianza kupiga mahesabu ndugu hiyo hela utainywea bia tu...
Utafika tu..

Confucius alisema "A Journey of 10,000 miles begins WITH THE FIRST SMALL STEP"

Be bold and see the mighty forces of the Universe come to your aid in achieving your dreams!
 
Trump usinipeperushie ndege wangu

Nenda pale malaika Lounge ukale nyama kibabu wa dar wewee m

Sent using Jamii Forums mobile app
Aahhh! Mahasira kama yote hapa umenikataa eti, tena wewe kibibi gagula wa mwanza ntakusaka adi nkupate apo dom
Nkifika itakuwa late kwenye saa 5 hivi night, nakuja hapo malaika lounge nataka
Nkukute na hao wahudumu waambie wakupe whisk inaitwa Jameson ntalipa sa ole wako usiagize ntakutafuta tafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom