Atavunja laini sawa. Atafuta hata kumbukumbu za usajili wa laini?Kama alishazitoa zote na laini kavunja?
sasa huo ndo wizi???yan uzembe wako uje udhalilishe watu
mm mwenyewe ungekosea kwenye namba yangu nisingekurudishia hata na usawa wenyewe huu
mh! hela toka benk kwenda kampuni za simu haioneshi jina. Ingekuwa simu kwenda simu, kweli.pole,atapatikana huyo,namba ya simu iko kwenye kitambilisho cha mpiga kura,uraia,leseni ya gari,ni rahisi tu,hili ni funzo tunapotuma fedha tuwe makini kwa kuwa kila kitu unaweza kuhakiki mwenyewe,kama jina unalijua ukifika pale neno la siri mtandao utakupa Jina,linganisha ndio ugonge 1.ndio gonga moja baada kujiridhisha,si hivyo,
Huu ni wizi kwani kajulishwa kuwa imekosewa na kuahidiwa ajimegee za usumbufu, lakini kaona apotee nazo zote. TUSIMTETEE, HUU NI WIZI.szan kama huo.ni wizi jamaa.kaokota parachichi chini.ya mwembe mjadili uyo.syo.mwizi.
HEEE Maajabu!huo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
Acha upuuzi,hiyo ni fursa!Usimdhalilishe mtu kwa uzembe wako!Unajua shida zake?Mbuzi kafia kwa muuza supu!Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba...[emoji87] [emoji87], nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Umenifanya nicheke kwa sautiMkuu Ushimen nimemcheki kijana Facebook yake naona yupo tu anatamba ila Instagram ndio kaweka Private!
Nahisi kumpata ni rahisi ila kuipata hela ndio inaweza kuwa ngumu!
Halafu dogo anafanana na Bashite nahisi wana undugu!
huyo si mwizi uyo kakosa uhungwana alafu yawezekana alikuwa nashida mungu huwa anamakusudiHuu ni wizi kwani kajulishwa kuwa imekosewa na kuahidiwa ajimegee za usumbufu, lakini kaona apotee nazo zote. TUSIMTETEE, HUU NI WIZI.
Huyo huyo akipatikana atasaidia kumpata muhusika huwezi kuomba kisajili line na kitambulisho cha mtu wa mbali lazima atakuwa ndugu jamaa au Rafikino vitu vingne jarbu kutumia common sense leo umepost pics za mtu humu kwa jina alosajiria line
tz kuna watu kibao wanatumia line ambazo hazisajiliwa jina lake kama mm hapa
je mwenye hio pics akikufungulia kesi ya uzalilishaji utakua umeonewa??na ushafikiria odds za kishndwa na utaoteza shilling ngap zaidi???
Mie kuna siku wakala aliniwekea 800,000/- badala ya 80,000/- nikaona baadae kuwa kazidisha hela. Kesho yake nikarudi nikamuuliza jana umeniwekea sh ngapi akasema elfu themanini. Nkamwambia angalia meseji zako. Mama wa watu alitahamaki nikamrudishia 720,000/- huyo mama kila akiniona anahadithia watu maana hakuamini.
Maisha haya ni uaminifu tu. Mtu akikosea sio sababu ya kuona una bahati maana huwezi kujua shida utakazomuachia. Pia ni laana na mikosi kumdhulumu mtu usiyejua tabu zake
Hayajakukuta. Kuna siku Italia kilio cha mbwa meno hayaumani.Acha upuuzi,hiyo ni fursa!Usimdhalilishe mtu kwa uzembe wako!Unajua shida zake?Mbuzi kafia kwa muuza supu!
Atakuwa jamaa yako!! Mbona umemtetea kwa huruma sana!huyo si mwizi uyo kakosa uhungwana alafu yawezekana alikuwa nashida mungu huwa anamakusudi
Patamu hapo! Ndo mwenye kitambulisho atapojua kuwa kitambulisho ni transferable au la!Huyo huyo akipatikana atasaidia kumpata muhusika huwezi kuomba kisajili line na kitambulisho cha mtu wa mbali lazima atakuwa ndugu jamaa au Rafiki
Anabrand gani?huo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
Ni kosa kisheria kutumia pesa ambayo umeipokea kimakosa, sheria inakushurutisha kurudisha sehemu ilipotokaIla umekosea kumwita MWIZI kwani wewe ndio Mwenye makosa hukua makini wakati wa kutuma pesa kwani yeye hajafanya biashara yeyote na wewe ameshangaa mzigo umeingia kwa nn asiende kutoa atumie wakati malaika kamshushia zigo la hela kwenye sim
Na inawezekana hiyo pesa yako sio ya halali ndio uliko itoa au inapokwenda
[emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49]Ni kosa kisheria kutumia pesa ambayo umeipokea kimakosa, sheria inakushurutisha kurudisha sehemu ilipotoka