sasa huo ndo wizi???yan uzembe wako uje udhalilishe watuMkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba...[emoji87] [emoji87], nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Hahaahaaaaa.....Mkuu Ushimen nimemcheki kijana Facebook yake naona yupo tu anatamba ila Instagram ndio kaweka Private!
Nahisi kumpata ni rahisi ila kuipata hela ndio inaweza kuwa ngumu!
Halafu dogo anafanana na Bashite nahisi wana undugu!
Tafuta watu wake wa karibuMkuu, jamaa nilitumia pesa nyingi kidogo.
Hiyo laki mbili ndio nimeitangaza kama zawadi kwa atakae niwezesha
Wata-trace jina kupitia vitambulisho na kulinganisha na vitambulisho vipyaKama alishazitoa zote na laini kavunja?
no vitu vingne jarbu kutumia common sense leo umepost pics za mtu humu kwa jina alosajiria lineUnaonekana una njaa ya hatari....
Anyway, naomba nikupuuze tafadhali
Asante mkuuPOLE SANA MKUU HUU NI UJINGA WETU WENYEWE SISI WATANZANIA KWA KUKUBARI, KUITUMIAKIA MITANDAO ISIYO WAJARI WATEJA WAKE....MITANDAO YOTE YA SIMU ILIYOPO TANZANIA INAENDESHWA KITAPELI TAPELI SANA...NAMUOMBA MUNGU AKUPE SUBIRA JUU YA TATIZO LILILOKUPATA MKUU...
Ni rahisi kumpata nenda kwenye kituo cha mtandao unaohusika watatazama mawasiliano yake ,kisha mtamtafuta ndugu yake yeyote waliyekuwa wanawasiliana sana ,kwa vitisho vya police atasema alipo huyo mwiziKama alishazitoa zote na laini kavunja?
Asante kwa ushauri wako mkuuMkuu pole sana,pamoja na yote ni kweli kafanya kosa kukubali kuirudisha na kushindwa kufanya hivyo.
Nimejifunza kitu ktk uzi huu sisi binadamu tuna tamaa sana ya vitu visivyohalali yetu.
Fanya hivi km atakana kuwa siyo yeye baada ya kumpata ,muache usipoteze muda na pesa nyingne kwaajili yake,watu km hawa wapo ktk jamii, Hakika naiman ktk pilika pilika zako utapata zaidi na Mungu akusimamie ktk kazi zako.
Asante mkuu.Ulikosea mkuu Ilibid punde baada ya kugundua kuwa umetuma pesa kimakosa ilibid upige simu huduma kwa wateja wenyewe wange izuia hiyo pesa km angekuwa bado hajaitoa pole sana mkuu