Hapo sasa, 😂😂😂😂Kwahiyo mke wako anapenda Tv na jokofu kuliko anavyokupenda wewe hadi anataka kuacha🤣🤣
Vinginevyo aelezee ilikuwaje vikaibiwa, hata mimi nawaza kama wewe. Yawezekana jamaa wa Oya wamefanya mambo anasingizia kaibiwaNawaza Tu.
Mleta mada ni mkopaji maarufu. Hata hivyo vitu anavyodai vimeibiwa ni alikopa fedha akanunua kashindwa marejesho wenye pesa zao wamekuja kusafisha sebule.
Mwizi aibe TV,friji na jiko kwamba hapo nyumbani mke na mtoto walikuwa wapi
Hapo tatizo ninaloliona huna mke, piga chini oa anaekubaliana na kila hali.Good morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kukimbia kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
Ndio wapi huko nami niende?Nenda Hisense watakupatia kwa mkopo.
Inawezekana mshahara si haba ila una madeni kila konaMshahara si haba na unashindwa nunua hata TV na usisikie maumivu😁
Vilevile walivyomuibia atakutana navyo..bora akopesgwe..wapo wauzaji wanakopesga kidogo kidogo. Naonaga mitandaoni, wanakuletea hadi homeZungukia page za used items na uhakika utapata vyote kwa bei kitonga sana. TV 32" kwenye used unaipata hadi kwa laki na nusu.
Jiko elfu 30 hukosi la gas ndogo lile.
Friji pia andaa laki 2 na nusu unapata zuri tu.
Huyo ni mkeo kweli au unajilazimisha kuwa naye? Unaishi na mke wa mtu muache aende kwa mume wakeGood morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kukimbia kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
Mwache huyo mwanamke aende zake utagundua hata hivyo vitu huvihitaji, just enjoy life.Good morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kwenda kupumzika kijijini kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
hiyo mingi ya kitapeli, au utaambiwa we ni mtu wa 15 na utaishia kupewa mabeseniKacheze michezo ya vyombo
😂😂😂hiyo mingi ya kitapeli, au utaambiwa we ni mtu wa 15 na utaishia kupewa mabeseni