Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
- Thread starter
- #41
Dar es salaamKuna mtu anafanya hiyo biashara ngoja ni mchike nitakupa jibu.Kwani unapatikana wapi?
Dar es salaamKuna mtu anafanya hiyo biashara ngoja ni mchike nitakupa jibu.Kwani unapatikana wapi?
Ushauri usikope kama maingizo yako hayawezi kuulipa huo mkopo kwakujinafasiGood morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kwenda kupumzika kijijini kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
Hapana, wala sio mtu wa TV sana. Tatizo watu wameelewa vibaya, mke ana mtoto mdogo so muda wote anashinda nyumbani, sasa imagine umekaa ndani tu hamna jiko/friji(kupikapika),hamna TV, unaboreka sana ndio maana ameomba aende nyumbani kupoteza muda kidogo maana nimemwambia nataka kununua vyote kwa mara moja. Sasa kila mtu hapa maona anatoa povu kuhusu mke wakati sio lengo kuu la huu uzi.Mkeo anafatilia movie zilizotafsiriwa??