Nimeathiriwa na virus aina ya skypee nimejaribu aina nyingi kumtoa bila mafanikio, aliye wahi kukutana nae msaada please.
Nimeathiriwa na virus aina ya skypee nimejaribu aina nyingi kumtoa bila mafanikio, aliye wahi kukutana nae msaada please.
Tumia 'arv'
nlikuwa na issue km yakoo bt huyo dawa yakee ni smadav final vision download kwenye web yao ina size ndogo xana almost 1. somthing Mb
Nimeathiriwa na virus aina ya skypee nimejaribu aina nyingi kumtoa bila mafanikio, aliye wahi kukutana nae msaada please.
MKUU nimejaribu imekataa kabisa kuna fail zinakataa kudelete (googleupdate.a3x, AutoIt3.exe), na folder name skypee.
nimejaribu formating lakini bado iko vilevile, nime format kwa NTFS, FAT32 na exFAT lakini bila mafanikio, PLEASE ASSIST
nikiformat flash (full format) lakini bado inaonyesha kuna files ndani na folder la skypee. kama kuna folders kwenye flash, ukifungua folder unakuta subfolder lenye jina la folder ulilofungua, lakini lenyewe halifunguki.dalili zake ni nini? anafuta mafaili, anazima pc, anafanyaje fanyaje mpaka mtu unajua kuwa unaye?
Ngoja nijaribuhuyo virus atakuwa kwenye pc yenyewe ila unamuona tu kwenye flash, lakufanya washa pc kwenye safe mode usichomeke flash yako, nenda local disk c/windows/system32 nadhan atakuwa huko then mfute ukimaliza chomeka flash yako i format then restart mashine
Kweli nimemuona pia kwenye tablet yangu, mpaka sasa bado sijaona madhara yake ila anasambaa kwa kasi sana, shida hii niliipata baada ya kumuazima mtu wa ofisi ya jirani flashi yangu ilipokuja ndo ikaleta haya yote.hata kwenye androids yupo, cdhan kma ana madhara
hata kwenye androids yupo, cdhan kma ana madhara