Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

Wenzio tunatafuta wanawake wenye akili ya kusaka pesa kama hao, wewe ndio unamtupa? Kweli tumetofautiana sana aisee!
Mwanamke mwenye uwezo wa kusimamia majukumu akiwa peke yake bila mashauzi na kujitegemea, kwangu ni asset ya maana kuliko chochote.

Kweli kwenye miti hakuna wajenzi mpe milion saba halafu nipe namba yake nitamfanya akusahau ndani ya siku tatu
 
oh-ow ila mwanaume sku zote msimamo...kwakuwa maamuzi yaku tongoza uli ya amua mwnyewe na amini ata mwisho wake uta hamua mwenyw...!!!
Sawa mkuu lakini ushauli wa wengi pia hupelekea mtu kufanya maamuzi sahihi na makini.
 
Wakuu salama.

Kipindi nipo form five,nilipata demu mmoja hivi tulie kuwa tunalingana nae hakika tulipendana sana.Baada ya kumaliza form six sote tulifaulu,tukawa tumechaguliwa chuo,Lakini tulienda vyuo tofauti.Baada ya kufika chuo tulipomaliza semister ya kwanza,h uyo demu alianza kuniletee mizinguo ni kamvumilia sana mwisho wa siku tukapigana chini.

Sasa baada ya kuachana nae nilipokuwa naenda likizo nyumbani huko mkoani,Niliona nikatafute mwanamke anae nizidi umli labda yeye atatulia.Sasa nilipofika nyumbani mta kama wa tatu kutoka nyumbani,Alikuwepo mwanamke fulani hivi mwenye watoto wawili.Ambae mme wake alifariki kwa ajali ya gali.

Nikawa nimemtokea akawa amekubali lakini kiumri alikuwa mkubwa kwangu,Alkuwa ananizidi miaka tisa.Sasa baada ya kuanza mahusiano nae baada ya kama miezi mitano,Na kwa vile alionyesha kuniheshimu sana na kunijali sana.Nilimshauli tuanza nae biashara akawa amekubali.Nilianza na mtaji wa laki nne ambayo nilikuwa nmeibana kutoka kwenye BUM.

Nikaanza kwa kununua Madira na vitenge nikawa navisafirisha kwenda mkoani,Akawa anauza kwa mkopo kwa wanawake wenzake.Kila mwisho wa mwezi akawa ananitumia hela nanunua mzigo nausafirisha anaupokea dhen anauza.

Tumefanya biashara hiyo ndani ya miaka miwili,Nampaka navyoongea hivi sasa kanizalisha faida ya milioni kumi na moja nimeihifadhi benki na bado tunaendelea kufanya nae kazi na kugegedana pia.

Lakini sasa mwaka huu namaliza course yangu ya Mechanical Engineer,Na tatizo anadai nikimaliza nimuoe.Kusema kweli simpendi hata kidogo lakini nipo nae kwa ajili ya kumgegeda na kufanya nae biashara hiyo.Sasa waungwana mpaka sasa sijui nimuachaje maana nmeshafanya majalibio ya kumuacha mwaka huu takribani mara mbili lakini wapi! maana kaniganda sana.Sasa kiukweli mie siwezi kumuoa na wala simpendi na tatizo kubwa ni umri wetu mimi na yeye.Kwa hiyo wakuu naombeni ushauli nifanyeje huyu mwanamke niweze achana nae?

Asanteni sana.[/QUOTE

chuo kikuu hujui hata kutofautisha r na l;shikamoo BRN
 
la kufanya ww ni mwanaume kaa nae chini ongea nae mueleze hali halisi kama vip mpatie mtaji aendelee na hyo biashara usije ukaoa mtu ambaye haujampenda,chukua maamuzi magumu ya kiuwanaume
 
Mkuu hongera sana kama ulipata mwalimu wakukufundisha kutofautisha r na l.Sisi wengine tuliosoma zile shule za wengi hatukuwaona walimu toka form one mpaka form six.

Lakini nilipo si haba.
 
Miaka 9 sio inshu,Unakumbuka Mkataa pema pabaya pana mwita?mimi sitaki nimgegede bali natafuta vichwa kama hivyo kwa biashara zangu ni PM unipe contact zake nifanye nae Biashara tena za kimataifa,
Kwa kuwa unajua nn kinaendelea zuga umemfumania alafu jichenge zako,Natumai umenielewa
 
Thanks Boss nimeipenda sana mtazamo wako, naamini ukiwa na mtazamo kama huo ndoa haiwezi kukushinda kabisa kwa kuwa utamtafuta mnayeweza jenga naye maisha na sio wa maonesho kwenye kumbi mbalimbali za masherehe,

Umri si kikwazo ktk maisha ya ndoa otherwise uwe na mawazo ya kumtafuta mateka wa ndoa ambaye utataka uwe una mpa order za kijeshi na kuhoji baada ya utekelezaji au hakuna kabisa.

We need an assistant.. Ambaye mtashauriana kujenga maisha zaidi ikiwemo kuwa na pato la pamoja kwa kuchanga mishahara na kuweka wazi vipaumbele vyenu vya maisha au kwa kuanzisha biashara mbadala yenye matawi na wasimamizi wawili wenye malengo ya pamoja.

I appreciate that.

Tuko pamoja mkuu. Kinachoudhi pamoja na kuwa ni uhuru wa mtu binafsi, ni kitendo cha mtu kushindwa kutambua kuwa ana kitu cha thamani mikononi mwake na kuendelea kutafuta sababu za kukitupa.
Ila ni swala la muda tu, ukijikuta umeangukia pabaya kutokana na kujali zaidi outward features halafu ukaumizwa, hapo ndipo huwa tunamkumbuka yule wa mwanzoni, tuliemwona wa ovyo halafu yale yote tuliyoyaona ya maana sana wakati wa kuchagua mwenza, huwa tunakuja kugundua kuwa hayakuwa ya msingi.
 
Mkuu asante kwa bandiko lako hili,Ila tatizo hujapiga mahesabu vizuri.Ukiwa na shilingi laki nne unaigawanya mala mbili laki mbili nunua madira 25 kwa bei ya elfu nane nane kaliakoo.Ukipeleka mikoani unayazungussha kwa mkopo wa shilingi elfu kuni na tano kila dira kwa wki mbili.Utakuta kwa madira 25 una faida ya laki na sabini na tano elfu.Na pia unanunua vitenge kumi na moja kwa kila kitenge elfu kumi nane kaliakoo.Ukipeleka mikoani unauza kila kitenge elfu thelathini kwa mkopo wa mwezi mmoja.Ndani ya mwezi mmoja ukiwa na laki nne unapata faida ya laki tatu.Maana usafiri ni buku tano,Wanasafirisha SALUMU TRANSPORT na pale NEW TANGANYIKA TRANSPORT kwa bei rahisi kabisa nenda kaliakoo waulizie jamaa utawapata.

Unakuwa umekuza mtaji kwa hiyo ndani ya miezi mitatu unakuwa na mtaji wa takribani milioni moja.Pia ukumbuke mimi nilikuwa naishi kwa BUM mpaka leo hii.Tulivyo kuza mtaji ulipofikia milioni mbili tulikuwa na uhakika wa kupata faida ya milioni moja na laki tatu kwa mwezi.

Sasa ni jukumu lako kuitunza hela vizuri nakuachana na mambo yasiyo ya msingi.Na hio milioni kumi na moja ukiwa na matumizi mazuri ndani ya miaka hio miwili kwa biashara hiyo kwa mkoani ni ndogo sana.

Waweza kukubali au kukutaa ila itabaki kuwa ukweli.

Wewe unatupa mgodi Nakwambia. Sio kwamba alichozalisha ni cha ajabu sana, hapana. Kitendo cha kuanza na laki 4 na kuifikisha mpaka milioni 11 inahitaji discipline ya hali ya juu hasa kwa anaeshika pesa kujibana kwa namna fulani ya hatari, ndio maana nasema huyo mwanamke ni mpiganaji na ana roho na uwezo wa kuleta maendeleo ila kwa sasa hulioni hilo, ngoja ukutane na nyau wa town, utampa milioni 20 na zitakwisha bila kufanyiwa chochote.
 
Hii ni moja ya changamoto kubwa kama sisi watanzania tukitekeleza tutafanikiwa na kupiga hatua mbele.

Tatizo ni kuwa alikuwa na laki nne wakati anakutana nae huyo mwanamke, sasa ana milioni 11, asichoelewa ni kuwa ni vigumu kumpata mwanamke anaeweza kujishusha na kusimamia biashara kiasi cha kukuza mtaji kiasi hicho kwa maisha ya sasa.
Milioni 11 ni hela ambayo watu wananunulia magari, viwanja, wanahonga siku hizi lakini hebu tazama ilikoanzia kupatikana ndio utajua kuwa ni jambo la ajabu na adimu sana.
 
Tafuta ujasiri wa kumshawishi Bi mkubwa ili aone umuhimu wa huyu mrembo kuendelea kuwemo ndani ya maisha yako wewe ndiye utakayeishi na mkeo si Bi Mkubwa. Na huu wimbo wako wa umri mkubwa unaanza kuudhi sasa hebu achana nao, ama muoe ama umpige chini ukiamua kumpiga chini mpe milioni tano au sita ya kumuwezesha kuendelea na maisha yake, lakini nakuhakikishia ukimpiga chini huyu utakuja kumkumbuka sana pamoja na kukupeanda anavyokupenda, kukuheshimu, kuwa mwaminifu kwako na mtendaji mzuri kwenye biashara lakini yote haya hukuyathamini ukaona tofauti ya miaka 9/10 kati yenu ndilo kikawa kipaumbele chako ili umpige chini. Wanawake kama huyu katika dunia ya leo wanatafutwa sana na wengi, lakini ndiyo hivyo waswahili walisema kwenye miti hakuna wajenzi. Usiendelee kumpotezea muda wake kwa kuendelea kumdanganya utamuoa ukimaliza shule miezi michache ijayo.

Mwanamke ni mzuri pia anavutia kinoma sema nachohofu nakupelekea nisimpende ni umri.Nawaza ntakavyo mtambulisha kwa bi mkubwa itakuwaje?.
 
Mkuu hio ndio hofu yangu maana ana miaka 33.Na mimi kumaliza chuo ni mwaka huu na kitu nachohofu zaidi huenda nikimuacha ni kaangukia kwa maumiza kichwa.Ni kabaki najutia lakini pia suala la watoto ndo nawaza kinoma maana yeye tayali ana watoto wawili mimi je?.

Jinsi Navyopenda watoto, sioni kama ni tatizo kuwalea, hao ni raha hata kuwaona tu wanavyokua. Mimi naweka ndani bila kujiuliza mara mbili hata kama ndugu watanitenga kwa sababu ndoa ni yangu na sivya ndugu.
 
yaan nlikimbia kama nmevamia uchochoro wa vibaka halafu yuko serious., wew mwanamke sio aisee juzi tu ulikuwa unaongea na fundi wa ujenzi sijui ushajenga, leo tena unaleta habar hzi. hadi leo sitomsahau yule kijana na masters yake. uck mwema best

Hahaha! Sisi wanaume tuna kazi sana!
 
Wenzio tunatafuta wanawake wenye akili ya kusaka pesa kama hao, wewe ndio unamtupa? Kweli tumetofautiana sana aisee!
Mwanamke mwenye uwezo wa kusimamia

majukumu akiwa peke yake bila mashauzi na kujitegemea, kwangu ni asset ya maana kuliko chochote.

Mdau ulikuwa na mawazo kama ya kwangu big up sana mdau
 
Back
Top Bottom