Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

Mpaka sasa simuelewi huyu jamaa kwa kweli mkuu. Huyo ni mwanamke wa maana sana ila halioni hilo sasa mpaka aweke paka asieshiba ndani ya nyumba yake ndio ataelewa. Kuna watu wana stress kila kukicha kisa mwanamke walie nae ni mtumiaji asiefaa, akionyeshwa pesa tu anakuwa mwehu wakati kuzitafuta hajui.
Umenena mwache tu atafute matatizo atajuta, wanompa ushauri wa ajabu sijui kama wanawafahamu wanawake
 
Tatizo unajichanganya katika kauli zako.. Unaposema unampenda lakini hapo hapo unasema humpendi sababu ya umri mkubwa... Hapo nashindwa kuelewa kwa kauli zako.. Sababu umri si kigezo cha kutokuoa au mtu kuto olewa nadhani labda useme huna mapenzi nae ya dhati na wala huna nia ya kuwa mke wako
 
Kama ana matako makubwa halafu mweusi mrefu. usimuache, vinginevyo unatafuta gunia la chawa. lakini nina mashaka na post yako kuwa haina uhalisia has a pale ulip oweka wazi kiasi cha pesa uliyopata faida.
 
Ningepata mwanamke kama huyo wakati ninatafuta mke hakika mimi ndio ningemganda kama Luba mpaka kieleweke. Mtu anakuheshimu na una mpya mtaji kiduchu anasimamia biashara kwa uaminifu bila ya wewe kuwepo mpaka unapata faida kubwa wewe unataka kumwacha? Age is just a number young man.
 
Nimekumbuka kuleta mrejesho baada ya kuiona thread ya The Unknown inayowazungumzia Single mothers.
 
Ningepata mwanamke kama huyo wakati ninatafuta mke hakika mimi ndio ningemganda kama Luba mpaka kieleweke. Mtu anakuheshimu na una mpya mtaji kiduchu anasimamia biashara kwa uaminifu bila ya wewe kuwepo mpaka unapata faida kubwa wewe unataka kumwacha? Age is just a number young man.
Wapo wengi.
 
Kama ana matako makubwa halafu mweusi mrefu. usimuache, vinginevyo unatafuta gunia la chawa. lakini nina mashaka na post yako kuwa haina uhalisia has a pale ulip oweka wazi kiasi cha pesa uliyopata faida.
Ina uhalisia mkuu na kiasa cha faida nikiyopata ndio hicho.

Lakini niliamua niachane nae.
 
Tatizo unajichanganya katika kauli zako.. Unaposema unampenda lakini hapo hapo unasema humpendi sababu ya umri mkubwa... Hapo nashindwa kuelewa kwa kauli zako.. Sababu umri si kigezo cha kutokuoa au mtu kuto olewa nadhani labda useme huna mapenzi nae ya dhati na wala huna nia ya kuwa mke wako
Niliamua achana nae,na mwaka huu anaolewa.
 
Back
Top Bottom