Nitamtokeaje huyu Msichana?

Nitamtokeaje huyu Msichana?

stranger kwake lazima ukimwambia direct aogope
Kweli kabisa sijui kwa nini hawa dada zetu ktk hili swala la Mtongozano.com wanatufikiriaga vibaya ndio maana wanaume wengi tunaofia eti dada Sky Eclat tupe somo hapa inakuaje hii
 
Acha bwana usinitishe mwenzio nimeshaiandaa bado ku ipresent tu, barua ni jambo la heshima mi naona ndio maana hata kwenye maombi ya kazi tunaandikaga barua
Mara barua anaiokota sister kabla mlengwa hajaisoma.
 
Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu km njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli. tatizo linakuja ni kwamba hatoki kwao wala hana rafiki wa karibu na hapo kwao muda mwingi yupo na family members so nashindwa hata kumchomoa kidogo pembeni naishia tu kumsalimia.
Nje kwao wana Genge siku moja nikaplan siku akiwa peke yake nikanunue kitu pale ili nipate angalau dk 5 nimalize kazi, nikapata chance hiyo nikajitia uchizi kwenda kununua kitu chochote cha kutafuna kufika pale nikakutana na maembe mabichi ikabidi ninunue mwanaume nikajikaza nikala embe bichi km mwanamke mjamzito sasa kila nikitaka kuanzisha story wanatokea wateja so akawa busy mpaka namaliza kula lile embe ikabidi nitambae zimepita km siku 2 hivi nikitaraji kupata chance km ile lakini wapi kila nikipita nakuta shazi kwao sasa nimeona bora nimuandikie later nimkabidhi pale kiaina alaf atajua mwenyewe.
Je waungwana wa MMU hii ni njia bora km sio nishaurini niingieje

Domo zege/ mambo ya barua hehe
 
Kumbuka wewe ni stranger kwake lazima ukimwambia direct aogope. Tumia njia ya kuchukua Namba yake kama kuongea saana hauwezi.

Next time nenda nunua embe au kingine kilie hapo hapo wakati unaendelea kula ingiza utani mdogo na vimaswali visivyo vya direct.. kisha mwambie naomba namba maana tumeshakuwa marafiki sasa.
Kirahisi hivyo?
 
Ndugu mchawi namba tu achana na mambo ya barua utaonekana mshamba.
 
Barua? mh ilikuwa zamani na nilikuwa fundi sana wa barua ila now nahisi nimesahau ufundi huo.
 
Kirahisi hivyo?
Haha kutongoza ni saana aseeh ndiyo maana kumfundisha mtu inashindikana saana. Yaani mtu kukupa attention inategemea vitu vingi saana
1. Chemistry
2. Muonekano wako
3. Status
4. Uchumi wako
5. Mazingira
6. Msaada wako kwake
Mambo kibao saana
 
Kwanza kabla atujakwambia cha kufanya unataka ku oa au kuchezea tu mana tusije kukaa tunakufundisha kwenda ku haribu future ya mtoto wa watu,alafu kesho uje kuleta mada za kuponda single mam tukaku suport na kumbe tumechangia kupatikana kwa single mom
 
Kwanza kabla atujakwambia cha kufanya unataka ku oa au kuchezea tu mana tusije kukaa tunakufundisha kwenda ku haribu future ya mtoto wa watu,alafu kesho uje kuleta mada za kuponda single mam tukaku suport na kumbe tumechangia kupatikana kwa single mom
Kwa jinsi yule mtoto alivyo haki ya nani ntamuoa endapo atanionesha mapenzi ya dhati ila akijifanya mjuaji TUTAJUZANA
 
Back
Top Bottom