Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
baada ya kupata ushauri murua nasubiria mrejeshoON FLEAK
baada ya kupata ushauri murua nasubiria mrejeshoON FLEAK
Mambo ya barua yakizamaaaani kwan hana sim akupe number then umuombe mkutane sehem?Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu km njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli. tatizo linakuja ni kwamba hatoki kwao wala hana rafiki wa karibu na hapo kwao muda mwingi yupo na family members so nashindwa hata kumchomoa kidogo pembeni naishia tu kumsalimia.
Nje kwao wana Genge siku moja nikaplan siku akiwa peke yake nikanunue kitu pale ili nipate angalau dk 5 nimalize kazi, nikapata chance hiyo nikajitia uchizi kwenda kununua kitu chochote cha kutafuna kufika pale nikakutana na maembe mabichi ikabidi ninunue mwanaume nikajikaza nikala embe bichi km mwanamke mjamzito sasa kila nikitaka kuanzisha story wanatokea wateja so akawa busy mpaka namaliza kula lile embe ikabidi nitambae zimepita km siku 2 hivi nikitaraji kupata chance km ile lakini wapi kila nikipita nakuta shazi kwao sasa nimeona bora nimuandikie later nimkabidhi pale kiaina alaf atajua mwenyewe.
Je waungwana wa MMU hii ni njia bora km sio nishaurini niingieje
Hahahaaa we ni geniousUngerudi kesho yake useme lile embe ulilokula jana limesababisha tumbo kuuma sana wala hukulala unaomba uongee na aliyekuuzia.
Hahahaaaaaaaa hii kaliUkishindwa hiyo mwambie wee ni mganga na unaogopeka sana hapo mtaani.mwmbie ukitaka kitu huwa hukosi..kwani hukawii kumroga huyo atakayekunyima.....afu baada ya hapo..mwambie hebu nipe namba yako nikurushie picha za watu niliowaroga kisa walikataa matakwa yangu....hapo laIma akupe namba zote mpaka ttcl..ukishapata namba kazi kwisha...
Daah we noma mkuu inaonesha njia zako za kutongoza lazma ujitoe ufahamu kwanzaChukua vocha zako kama nne hivi..za mitandao tofaut afu ukifika pale...nunua embe lako kama kawaida..hahahaha ...wakati unakula muulize dada hivi unatumia halotel?? Akijibu ndio" sema dah afadhali afu mpe ile vocha ya halotel mwmbie kuna mtu amekuagiza umrushie afu wewe huna line ya halotel..kwa hiyo aingize kwake afu amuhamishie...(sasa hapa inatakiwa uwe na namba flan ya halotel ambayo sms ya utambulisho ya muamala itafika na namba yake..kazi kwisha.....ili kumchombeza zaidi mwmbie atume nusu nusu abaki nayo..baada ya hapo ongezea na embe jingine endelea kutafuna...ila ukiona tumbo limeanza kuscratch aga fasta sana maeneo hayo...
Mkuu unaonekana mpole saana. Hata kutania tania hauwezi? Tania tania then na yeye atafungua mdomo zaidi ya alivyo sasa. Ukishafanya hivyo inakuwa rahisi hata kuchukua namba ya simu
Haswaaaaa ikitegemea na jamaa alivyoUpo sahihi mkuu hiyo ndio njia bora na rahisi kuanzishia mazoea kama sio ukaribu
Hii njia nilitaka niitumie mwanzo wa mchezo kabisa lkn kila nikitafuta mtu wke wa karibu simpati yaan huyu mtoto ni mgeni maeneo haya sijawahi kumuona before mwanamke mwenzie ni Dadake peke ambae kaolewa maeneo hayo na yupo pamoja na watu wengine ambao kiumri wamemzidi kiasi kwama anawaheshimukama Njia zote zikikwamba tumia huu msemo ''mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake''
According to you.Huu msemo sio wa mwanaume aliyekamilika na aliye jasiri. ...
Kwa bahati mbaya mie sio kuku litakupata tuHahahaaaaaaaaaaa.........DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE