Nitamtokeaje huyu Msichana?

Nitamtokeaje huyu Msichana?

Wanaume waoga ni fedheha mbele za wapenzi wao.....sasa unaogopa nini....lakini ushamsoma bodylanguage unaona anajaa...? acha undezi hata kukonyeza hujui,...? kwani phoni hana...? tongoza kijanja ...wenzako chini ya dakika tatu tu mtoto anakuwa kashalainika tunapeleka gheto tunabandua ngozi...
Sifa za kijinga,jamaaa kwa kutongoza
sifa za kijinga
 
Mkuu unataka kuandika barua..!! Ukiandika tutaanza kuiona inafowardiwa whatsapp kwa sababu kwa maelezo yako hiyo barua yako itakua kituko.

Chukua kikaratasi hata kidogo andika namba yako. Wakati unakula embe lako mlie timing, mwambie una zawadi yake halaf mpe hiko kikaratasi huku unasmile na kumwangalia.

Hayo mengine utakuja kutupa mrejesho. Usipende kutongoza mwanamke kabla hajakuzoea, utakula za mbavu kila siku labda awe keshakukubali mwenyewe.

Kazi yako kubwa kwa sasa ni kupata namba yake ya simu.

Huu ushauri tu, na mimi mpole kama mtoa mada.
 
kama Njia zote zikikwamba tumia huu msemo ''mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake''
Hapa mkuu nimekuelewa...nilikuwa nikimtaka demu mitaa flani....basi nahakikisha napita mitaa hiyo na demu mzuri kuzidi yule nnayemtaka...mitaa hiyo mpaka yule demu nnayemtaka anione after then,siku zingine tatu mfululizo napita alone siku nikikutana na duu nnayemtaka inakuwa kama mbwa kakutana na chatu..nikitupia swaga hapindui.....It works...........
 
Hakikisha mkao wako ni wima wakati unakaa na kusimama. Watu wengi hupata matatizo ya mgongo kwasababu ya mkao mbaya
 
Wanaume waoga ni fedheha mbele za wapenzi wao.....sasa unaogopa nini....lakini ushamsoma bodylanguage unaona anajaa...? acha undezi hata kukonyeza hujui,...? kwani phoni hana...? tongoza kijanja ...wenzako chini ya dakika tatu tu mtoto anakuwa kashalainika tunapeleka gheto tunabandua ngozi...
Kwa uyu mtoto inahitajika busara za hali ya juu kwani ni mtulivu mno hana makeke mkuu sitaki kumpoteza
 
Kutongoza nikama unapiga turambeta sasa wewe umekula embe bichi lazima mate yajae kinywani hapo utaongeaje.
Nasawa na bubu kapokea simu
 
Sifa za kijinga,jamaaa kwa kutongoza
sifa za kijinga[/QUO
keep ya head UP.....madem hawapendi wanaume wanaoinamisha vichwa vyao chini..........unainamisha kichwa kwani we ndo unatongozwa.....amka kijana
 
Kutongoza nikama unapiga turambeta sasa wewe umekula embe bichi lazima mate yajae kinywani hapo utaongeaje.
Nasawa na bubu kapokea simu
Nilitaka kula ndizi nikakuta zimeisha ikabidi niagizie Embe nikijua ulemuda wa kumenya mpaka kuja kula na kumaliza ntakua nshamaliza mchezo
 
Kwa uyu mtoto inahitajika busara za hali ya juu kwani ni mtulivu mno hana makeke mkuu sitaki kumpoteza
Ndo ushampoteza mkuu....nenda sahizi nikupe mbinu ukifika pale........hamna uchawi wala ndumba
 
andika namba yako kwenye kikaratasi kizuri na endelea kupita pita tu hapo cku ukimkuta yupo alone MPE hyo namba na mwambie akubeep kama hutojari unaweza MPA na hela ya vocha ukaweka pamoja na hcho kikaratasi chako.ukishindwa na hapo au kama hatokupigia mtafute demu ambye umemzoea mpange fresh aende pale akatafute namba yake then akuletee umalize kazi .
 
Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu km njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli. tatizo linakuja ni kwamba hatoki kwao wala hana rafiki wa karibu na hapo kwao muda mwingi yupo na family members so nashindwa hata kumchomoa kidogo pembeni naishia tu kumsalimia.

Nje kwao wana Genge siku moja nikaplan siku akiwa peke yake nikanunue kitu pale ili nipate angalau dk 5 nimalize kazi, nikapata chance hiyo nikajitia uchizi kwenda kununua kitu chochote cha kutafuna kufika pale nikakutana na maembe mabichi ikabidi ninunue mwanaume nikajikaza nikala embe bichi km mwanamke mjamzito sasa kila nikitaka kuanzisha story wanatokea wateja so akawa busy mpaka namaliza kula lile embe ikabidi nitambae zimepita km siku 2 hivi nikitaraji kupata chance km ile lakini wapi kila nikipita nakuta shazi kwao sasa nimeona bora nimuandikie later nimkabidhi pale kiaina alaf atajua mwenyewe.

Je waungwana wa MMU hii ni njia bora km sio nishaurini niingieje
Mkuu, pole kwa situation yako, mimi ni kwangu ni vice versa. Nipo kwenye setting ambayo mimi ni mgeni, halafu manzi ni mwenyeji wa setting hii, kwa hio kupitia undercover stories, naambiwa manzi anatafuta namba yangu. Anakosa muda wa kuonana na mimi kwa sababu ya u busy kazini.
 
Wazee wa fursa.. Nawaona Nawaona

Thanks God my king Julian hanaga shobo na mademu anajua kabisa his gal is there for him..

Cc Smart911
Sipendagi shida mahondaw wangu... Mambo ya kuishi kama mkimbizi na wasi wasi ya kufumaniwa hata sitaki... I wanna be free with you only mahondaw... Anywhere any place...


Love you sana...
 
Nimecheka kwa sauti aisee...'eti mwanaume ukaamua kula embe bichi kama mama mjamzito' duh! barua zimepitwa na wakati bhana, tafuta kimemo weka namba yako kisha mtupie mwambie ajitahidi vyovyote akucheki una urgent issue atakuelewa! Mbinu za o'level hizo mkuu hah hah
 
Back
Top Bottom