Hahaha... Interview za kutafutiana kiikii... Unawaza mbali mahondaw wangu... Such a smart and brilliant young lady...
Ndugu, komaaa we ni mtoto wa kiume bhana nenda mazeee kadake namba afu malizana nae, amaaaa!!!Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu km njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli. tatizo linakuja ni kwamba hatoki kwao wala hana rafiki wa karibu na hapo kwao muda mwingi yupo na family members so nashindwa hata kumchomoa kidogo pembeni naishia tu kumsalimia.
Nje kwao wana Genge siku moja nikaplan siku akiwa peke yake nikanunue kitu pale ili nipate angalau dk 5 nimalize kazi, nikapata chance hiyo nikajitia uchizi kwenda kununua kitu chochote cha kutafuna kufika pale nikakutana na maembe mabichi ikabidi ninunue mwanaume nikajikaza nikala embe bichi km mwanamke mjamzito sasa kila nikitaka kuanzisha story wanatokea wateja so akawa busy mpaka namaliza kula lile embe ikabidi nitambae zimepita km siku 2 hivi nikitaraji kupata chance km ile lakini wapi kila nikipita nakuta shazi kwao sasa nimeona bora nimuandikie later nimkabidhi pale kiaina alaf atajua mwenyewe.
Je waungwana wa MMU hii ni njia bora km sio nishaurini niingieje
haahahah Sky Eclat we ni mjanja sana, una mbinu, sikuwaza kabisa hiyo mbinu,ila ni viable!!Ungerudi kesho yake useme lile embe ulilokula jana limesababisha tumbo kuuma sana wala hukulala unaomba uongee na aliyekuuzia.
hivi mdada anapokupa namba yake ya simu afu ukimpigia hapokei,sms hajibu humanisha nini mkuu?Ungerudi kesho yake useme lile embe ulilokula jana limesababisha tumbo kuuma sana wala hukulala unaomba uongee na aliyekuuzia.
mkuu wengne hata ukichukua namba response inakuwa zero kabisa hadi unajuta kwanini uliichukuaMkuu unaonekana mpole saana. Hata kutania tania hauwezi? Tania tania then na yeye atafungua mdomo zaidi ya alivyo sasa. Ukishafanya hivyo inakuwa rahisi hata kuchukua namba ya simu
Love you more Smart911 baby ake na mahondaw
Kuna theory moja sikumbuki sijui ni ya nani inasema
"when two stimulus are repeatedly paired together stimulus one starts to acquire properties of stimulus two"
And I'm always paired together with a genius man Smart911 a.k.a Julian the king what do they expect hahahaah. ..
Superwoman ushapata wa kumoyo au bado unatafutamwambie hata jirani yako mwanaume aka kutongozee. ila akimchukua usirushe ngumi tu
kwani nilikuwa natafuta???s
Superwoman ushapata wa kumoyo au bado unatafuta
Hivi kweli hii tuko karne gani.?
Leo hii umtongoze demu kwa barua kweli.?
Mi nadhani angemtungia wimbo(kama zile za kina "Daimondu")
Kisha aende kurecord then auweke kwenye CD kisha amtumie kwenye bahasha akiambatanisha na business card pamoja na sh elfu 30
Nakuhakikishia demu atakuja mwenyewe gheto bila chupi![]()

Kuna maneno umesahau kama NYONGO MKALIA INI.............Hahaha... umeandika barua?
Like "nikinywa maji nakuona kwenye glass, usiku silali nakuota.. nakupenda kama mchuzi wa kuku"
Kila la kheri mkuu... nimekumbuka swaga zangu za barua enzi hizo.. noma sana