Daby ungekua nchi zilizoendelea ungekua unamake money kupitia njia hii ya Mahusiano......hiyo ni kweli vitu hivyo ulivyovimention ndio silaha kuu ya kumpata mpenzi unaemtaka hasa muonekano na uchumi wakoHaha kutongoza ni saana aseeh ndiyo maana kumfundisha mtu inashindikana saana. Yaani mtu kukupa attention inategemea vitu vingi saana
1. Chemistry
2. Muonekano wako
3. Status
4. Uchumi wako
5. Mazingira
6. Msaada wako kwake
Mambo kibao saana
Sawa....hebu ongeza ujasiri kidogo....27 years old
Abuu tujipange hapa hapa tutapiga... ngoja muda uende ende kidogoDaby ungekua nchi zilizoendelea ungekua unamake money kupitia njia hii ya Mahusiano......hiyo ni kweli vitu hivyo ulivyovimention ndio silaha kuu ya kumpata mpenzi unaemtaka hasa muonekano na uchumi wako
Kati ya vitu ambavyo havitopitwa na wakati ni uandishi au ujumbe wa maneno ndio maana kote duniani barua ndio fasihi inayotumika kupeleka taarifa sehemuBarua? mh ilikuwa zamani na nilikuwa fundi sana wa barua ila now nahisi nimesahau ufundi huo.
Huu msemo sio wa mwanaume aliyekamilika na aliye jasiri. ...CHINEKEEEEEEEEEEEEEE
We sio muoaji na kwa jina la yesu usimpate uyo mtoto tena kesho asafiri kurudi aliko tokaKwa jinsi yule mtoto alivyo haki ya nani ntamuoa endapo atanionesha mapenzi ya dhati ila akijifanya mjuaji TUTAJUZANA
Tatizo siwezi kuipata namba yake ya simu mpaka niongee nae muda mwingi yupo kwao hana marafiki mtaani ni mgeni kidogo isitoshe mi hapo wao napita km njia kuelekea home ambapo ni mita km 500 mbele so hata ile labda kumvizia inakua ngumu ntapoteza muda mwingi sanaNdugu mchawi namba tu achana na mambo ya barua utaonekana mshamba.
Mwanaume funguka, hata wateja wakikuta unaimbisha;Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu km njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli. tatizo linakuja ni kwamba hatoki kwao wala hana rafiki wa karibu na hapo kwao muda mwingi yupo na family members so nashindwa hata kumchomoa kidogo pembeni naishia tu kumsalimia.
Nje kwao wana Genge siku moja nikaplan siku akiwa peke yake nikanunue kitu pale ili nipate angalau dk 5 nimalize kazi, nikapata chance hiyo nikajitia uchizi kwenda kununua kitu chochote cha kutafuna kufika pale nikakutana na maembe mabichi ikabidi ninunue mwanaume nikajikaza nikala embe bichi km mwanamke mjamzito sasa kila nikitaka kuanzisha story wanatokea wateja so akawa busy mpaka namaliza kula lile embe ikabidi nitambae zimepita km siku 2 hivi nikitaraji kupata chance km ile lakini wapi kila nikipita nakuta shazi kwao sasa nimeona bora nimuandikie later nimkabidhi pale kiaina alaf atajua mwenyewe.
Je waungwana wa MMU hii ni njia bora km sio nishaurini niingieje
Haha kutongoza ni saana aseeh ndiyo maana kumfundisha mtu inashindikana saana. Yaani mtu kukupa attention inategemea vitu vingi saana
1. Chemistry
2. Muonekano wako
3. Status
4. Uchumi wako
5. Mazingira
6. Msaada wako kwake
Mambo kibao saana