Nitamsaidiaje Anna?

Hahahaa nimependa hapo kwenye sitaki maswali hahaa. Aiseee mtu akitaka nimgaye mazima aombe namba ya simu
 
Wakati mwingine tunakwenda shule kupoteza tu muda,

Anna pamoja na kusoma kote huko anakuja kukubali hayo mambo sababu ya ufadhili? Anapewa fedha nyingi lakini anakosa akili ya kujiongeza. POLE YAKE
 
Aombe toba kwa MUNGU,aachane na mume wa mtu,ampende MUNGU kuliko kupenda fedha,ajifunze kusubiri mafanikio halali kama alivyovumilia kupata kiwango cha elimu aliyonayo, maelekezo mengine yatafuata.
 
Aombe toba kwa MUNGU,aachane na mume wa mtu,ampende MUNGU kuliko kupenda fedha,ajifunze kusubiri mafanikio halali kama alivyovumilia kupata kiwango cha elimu aliyonayo, maelekezo mengine yatafuata.
Asante sana mkuu.
 
Kuna future gani hapa na wazee wa shenzi kama hawa akimpata new form six leaver anakuacha kama kinyesi.
nmemaanisha kwamba sasa hv hawez kuondoka ghafla tu tatzo hakuna namna nyengne ya kukata ghafla huduma za mzee akusanye mafao yake kabisa asje akaachwa kwenye mataa na hana hata kumi
 
nmemaanisha kwamba sasa hv hawez kuondoka ghafla tu tatzo hakuna namna nyengne ya kukata ghafla huduma za mzee akusanye mafao yake kabisa asje akaachwa kwenye mataa na hana hata kumi
Kwa hiyo laki tatu kwa mwezi angepata chumba kule kwetu Kwamtogole na kumuomba Mungu ampatie mume mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…