Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.
Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.
Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
[/QUOTE
Kuijadili thread hii hata kufikia tu hii page ya 3 ni sawa na kumuongezea pumzi ambazo hana uwezo wa kuzitumia.
Lakini kinachonishangaza si mtoa kauli, bali zaidi ni mwandishi aliyeinua simu, kumtafuta John, eti kumuuliza unasemaje maana kuna mtu kasema anataka kugombea na kukung'oa Ubungo hivyo jiandae, khaaa!
Huu uwezo wetu huu...unayumba sana. Hivi mwanahabari hakujua kuwa ili huyo agombee kisha akutane na John, ni lazima wote wawe wamepitishwa na vyama vyao kugombea. This was unncessary balancing of the story...ofcoz with...aagh ngoja niishie hapa, nisije kumuongezea mtu pumzi asiyoistahili, kwa sababu hana uwezo wa kuitumia.
Ni haka kabinti kalichojikunyata kwenye kwapa la JK ndo kanataka kapambane na Mnyika aliyepata kura nyingi kuliko wabunge wote??
hakika hili ni tusi kwa wakazi wa ubungo.
![]()
Ukiitazama vyema hii picha utagundua wote hapo kwenye hii picha wamepoteza muelekeo.
Njaa ni bora iishie tumboni tu, ikipanda kichwani ni hatari sana aisee
Naamini hutakufa kabla ya kujiona ukiwa miongoni wa wapinzani wa serikali itakayoundwa na CDM itakavyokuwa inahudumia watanzania kwa Uadilifu, weledi na haki.
Mh!ni kweli kabisa huyu mtoto anavutia sana,si uhakika kama mkuu wa kaya na vigogo wengine watamuacha hivihivi!Kinana anaweza mgeuza small house kama hawajapigana kikumbo na Nchemba sijui katoto kameiva
ulifunguliwa kwa operation?Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.
Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums