Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,743
eti bi Juliana Shonza una boyfriend?
Last edited by a moderator:
eti nani myika duh huko unafika mbali, mimi tu hapa hata ukitaka uchaguzi leo; wewe CCM mimi CDM ngoma haingoki. - unaruhusiwa kuota mchana ayway!! Mnyika its another class dadangu -- usitake watu wakujue jue kwa kutaja majina ya makamanda wetu. usharudi magambani tulia uliwe.Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.
Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
CCM wenyewe hawawezi kumpitisha kwenye kura za maoni
Kuna malengo mengine kwa kweli hata kama unayaweka inabidi uangalie uhalisia wa kuyafikia, ni sawa na mtu kutokuwa na uwezo wa kununua hata baiskeli halafu ukajiwekea lengo la kununua chopa. Lengo kama hili kwa huyo binti ni la juu sana na atafanikiwa tu endapo mshindi wa jimbo hilo atapatikana kwa kuchakachua na si kwa kura halisi.
Huyu binti asipokuwa makini anaweza kujikuta anapata mtoto ambaye baba yake hajulikani exactly ni yupiNjaa ni bora iishie tumboni tu, ikipanda kichwani ni hatari sana aisee
eti nani myika duh huko unafika mbali, mimi tu hapa hata ukitaka uchaguzi leo; wewe CCM mimi CDM ngoma haingoki. - unaruhusiwa kuota mchana ayway!! Mnyika its another class dadangu -- usitake watu wakujue jue kwa kutaja majina ya makamanda wetu. usharudi magambani tulia uliwe.
Kama Chadema kuna mfumo DUME sasa atuambie CCM kuna mfumo gani JIKE au JIKE-DUME.Juliana Shonza amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume
Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.
Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.
Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
eti bi Juliana Shonza una boyfriend?
Hayo maneno nimeyapenda nahisi Shonza hajijui kuwa ndo mwisho wake kisiasa,Anafikiri katika CCM wanaosaka nafasi kama hizo upo pekee yake,hivi katika CCM yupo mtandao upi kwanza,Shonza kama alidanganywa kwa uroho wa madaraka basi ndo kaisha.Nchi hii wanaotumia dawa za hallucination wapo wengi huenda na Shonza ni miongoniJuliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.
Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
aisee mie sio mswahili swahili kivile.....una maana gani kisiju?Unauliza nazi Kisiju?? Swali sahihi lingekuwa hivi: "Unao wangapi"?
aisee mie sio mswahili swahili kivile.....una maana gani kisiju?
Goodluck Shoza and all the best!!!!!!!!Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.
Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
Hivisasa, watanzania wengi wana uelewa wa kutosha juu ya haki zao, Taifa laolinahitaji nini na ni aina gani ya viongozi na chama kinaweza kuwaletea Tanzania waitakayo. M4C inazidi kuchanja mbuga,Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.
Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums