Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Ni haka kabinti kalichojikunyata kwenye kwapa la JK ndo kanataka kapambane na Mnyika aliyepata kura nyingi kuliko wabunge wote??
hakika hili ni tusi kwa wakazi wa ubungo.

8E9U8493.jpg

Are you sure mkuu?

Bila shaka Nape amekula bingo. Kadada kanafanania na shughuli za unenguaje kwenye gari la TOT wakati wa kampeni.

Acha afundishwe kusuta awe kama hawa wenzake halafu baadaye apewe ukuu wa Wilaya

uvccm_wakipigana.jpg
 
Huyu binti kajimaliza kisiasa!

Thomas Ngwaiya alipokewa kwa mbwembwe sana pale Jangwani wakati anahamia CCM akitokea TLP. Sasa hivi yuko wapi? Anachezea CCM huyu!
 
Awana hadhi ya kupokelewa na mwekiti tena rais, hao ni saizi ya Nape

Tukisema fastjet basi akina Ritz na Chama povu linawatoka. Huu ni ushahidi wazi upstairs ya fasjet ilivyo. Kichwa cha nazi!! Haya mapokezi angmwechia Nape au Lusinde tungejua kuwa ana busara.
Kuhusu huyu CD kugombea Ubungo - ninafikiri ndivyo fastjet alivyomwahidi. naye kwa akili za u-cd anakimbilia kuropoka hata kabla ya kuwa chamani zaidi ya siku moja!!
 
ha ha ha haaaa ..... is all can say,

Huyu hata kura za maoni hawezi kupita labda aombe aingie kwa mlango wa viti maalum
Unamjuwa huyu? nani anavutia kwa ngono kati ya Juliana na huyu? na kama unamjuwa nisaidie kunijurisha yuko wapi!?

nakaaya+sumari.jpg
Nakaaya+Sumari1.jpg
nakaaya_sumari.jpg
 
<B>Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.</B>

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
Kweli....
 
That is a pathological obsession, with unreasonable idea.
Let's say she has a PSYCHIATRIC problem, disturbed is
MENTAL.
 
Shonza kamuulize nape walichomfanya masisiem mpaka wakampooza na udisii,usitegemee na kwako itakuwa hivyo maana haya mavyeo ya kipuuzi ya kupeana tutayafuta soon,pole mwee!!!
 
Skiza dada Shonza, achana na wanaokukatisha tamaa kuhusu CCM kukuteua kugombea, we cha kufanya jiunge na kambi ya Lowassa mapema iwezekanavyo, ukiwa huko hakuna kinachoshindikana ndani ya CCM,labda baada ya uteuzi hapo ndo tutafkiria mengine sasa, c umeona tik tak aliopigwa JK na chaguo lake Arumeru Mashariki?
 
we binti umekurupuka kumbe lengo ni jimbo la ubungo unadhan maccm watakupitisha dhubutu!
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Mnyika ni national figure hutamweza unaweza kumnyanganya mwanamke mume wake kwa aina yako ya kuwa mwanamke wa Tanga
 
"kwa kuwa chadema inajiandaa kuchukua dola ina mifumo inayojitoshereza ikiwemo na ya kiintelejensia" by Heche.

kwa kauli hii kweli nimekukubali heche
 
kumbe alikimbia kwasababu yamaamuzi yanayotoka ngazi zajuu

ndo maana keshaanza kujigawia madaraka kwamba yeye atagombea ubunge ubungo wakati chama kina taratibu zake mpaka apatikane mgombea.

kama ndo hayo hata hapo ccm patamshinda . huwezi pata unacho kitaka bila kufuata taratibu labda atumie hela kuhonga

Anajinyesha jinzi ambavyo hafuati taratibu za chama
laiti angesema nikipata fursa ya kugombea ubungo nita mngoa mnyika ningemwona mwenye busara
 
CCM Wakae chonjo kama wao wanaweza kutuma mamluki CDM, Nasi twaweza kumtuma mamluki CCM. Wamwangalie sana huyo dada.
 
Rejao, Rejao, Rejao...Mara hii mmeanza kumkana binti yenu mliyemtuma kazi maalum cdm na amerudi na ushindi nyumbani?
Huyu mbona anakuja vibaya hivyo??? Anafikiri CCM unajiamulia tu ugombee wapi na unapita kama ilivyo CDM? CCM kuna demokrasia ya kweli, kuna mchakato wa kumpata mgombea, hamna udicteta wa CDM wa Mbowe au Slaa wa kuamua nani agombee wapi!!!!
 
Mbona wote wanakimbilia Ubungo? Kweli mti wenye matunda... Wameona Mnyika JEMBE ....hahahahaaa! sifa zingine. yaani Shonza anaweza kusimama jukwaa moja na Mnyika....hebu nivute kiloba hapa manake na kiu...hhahahahaa!
 
Back
Top Bottom