Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Shonza taratibu, huko CCM kuna mambo yake labda ujipange kwenye viti maalumu, huo muonekano wako wa sura unaweza kukusaidia kuna wakware huko viti maalumu waweza kupita
 
Huyu mbona anakuja vibaya hivyo??? Anafikiri CCM unajiamulia tu ugombee wapi na unapita kama ilivyo CDM? CCM kuna demokrasia ya kweli, kuna mchakato wa kumpata mgombea, hamna udicteta wa CDM wa Mbowe au Slaa wa kuamua nani agombee wapi!!!!

Umesahau vile vile CCM bila rushwa ya fedha hawezi kupita, labda kama atajiuza ili aje ahonge wajumbe kutokana na fedha aliyoipata kutokana na umalaya.

CCM kwa rushwa wanatisha hadi mwenyekiti wao analalamika!!!
 
Hajawajua CCM vizuri, kuna watu ndani ya CCM wanapiga jaramba miaka nenda rudi hata kupewa nafasi ya kugombe uenyekiti wa mtaa hawajapewa sasa yeye kaingia jana tu anajangaza kugombea jimbo la Ubungo? Mbona Nape alishatangaza analitamani hilo jimbo? Na yeye analitaka? Amuulize Hawa Ng'umbi kilichompata hadi sasa hazungumzii tena Ubunge. Sijui au Jay Kaya jana kaonja joto la ka binti? Ndo akakaahidi hiyo chance!

Dah!inawezekana maana kapata wapi ujasiri wa haraka hivyo,tena bila uteuzi kufanyika kweli masalia ni masalia tu.
 
CCM wenyewe hawawezi kumpitisha kwenye kura za maoni


Wamemuingiza choo cha wanaume na sasa anaanza kuhaha!! Huyo mwananmke hata hajui taratibu za hicho chama jinsi wanavyopata wagombea wao!!
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Source:Tanzania Daima

ameshapitishwa kuwa mgombea wa ccm jimbo la ubungo?
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ingawa sipo jimbo la ubungo lkn nikiambiwa nichague mbunge wa hilo jimbo kati ya mnyika na zezeta la ccm nitampitisha mnyika bila kupingwa. Sijaona faida ya mi ccm bungeni sanasana naona mijizi tu
 
Huyu mbona anakuja vibaya hivyo??? Anafikiri CCM unajiamulia tu ugombee wapi na unapita kama ilivyo CDM? CCM kuna demokrasia ya kweli, kuna mchakato wa kumpata mgombea, hamna udicteta wa CDM wa Mbowe au Slaa wa kuamua nani agombee wapi!!!!

Mkuu acha kutuchekesha,tangu lini CCM dempcrasia imeanza?embu niambie

DR Hamisi Kingwangala alipatikana kidemokrasia?

Anna Makinda alipatikana kidemokrasia?(Au Mwenyekiti alisema safari hii ni zamu ya mwanamke?)

Mwenyekiti wa UVCCM alipatikana kidemokrasia?(Au Mwenyekiti alisema safari hii ni zamu ya Zanzibar?)

Wajumbe wa kamati kuu wanapatikana kwa njia ya kidemokrasia?au Mwenyekiti alijifungia chumbani na mkewe akateua tu!

Tafakari!!!!!!!!1
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Source:Tanzania Daima

hii dunia ina maajabu sana mtu anataka kwenda mbiguni bila kufa
 
ANASABABISHA TUONE KUWA WAKATI MWINGINE NI KAZI RAHISI SANA KUWA DR. WA MAGONJWA YA AKILI, kauli zake zinarahisisha diagnosis ya mtu mwenye ugonjwa wa akili kwa urahisi na kwa haraka zaidi hata kama hujasomea huo udokta.
 
Ana hela? Au anafikiri ukiwa CCM unagombea gombea 2 ovyo. Ubungo ni ngome ya CDM hapa dar, CCM wasahau kabisa jimbo hili.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ivi nyie wapofu wa kuelewa mnao sema mnyika hajafanya kitu mna akili za kifikiria nini??? Hivi hamoni kijana wawatu anavyo jitoa kutetea wananchi pamoja na yote yanampata pale bugeni au huwa hamfuatilii bunge? Unajua kuna wakati mtu anaongea kitu hadi unaanza kujiuliza hivi huyu kichwa chake kina ubongo au hakuna kitu, sasa inamana mnyika ana toa hela zake mfukoni ili aendeleze ubungo??? Au ulisha wahi siki amepewa hela amekula??mbona nashindwa kuwashangaa mijitu mingine jama naomba muwe mnafuatilia bunge ndo mje kulalama humu sio siri myika anajtahidi sana kueleza kero za waubungo bungen tena nahisi angekuwa anatoa pesa zake mfukon angefanya kwa gharama zake lakin ndo hivo anaendelea kuangaika huku mashetan ya ccm yanazd kumkandamiza. Ila tutafika tu.
 
Anataka kusafiria nyota za watu huyu,watu walivyoichoka ccm hadi kinyaa!!!!!!!!!
 
Huyu binti anafanya kampeni za Mnyika 2015 kuwa rahisi mno.CCM hawawezi kufanya kosa la kipuuzi namna hii
 
ccm wameshampitisha agombeee ubunge?au anajisemea tu.kama ni hivyo bac mnyika ana kazi rahisi sana katika uchaguzi ujao.
 
Back
Top Bottom