Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Nilikuwa nampa elfu 50 mpaka laki kwa wiki, kama miezi 3 ilopita
Anataka elfu 30?????? huyu lazima atakuwa mtoto wa shule -primary/secondary!!Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Anataka elfu 30?????? huyu lazima atakuwa mtoto wa shule -primary/secondary!!
Nipo nimejaa...mambo ya hapa na pale yananifanya kutokuwa muda mrefu hapa.
Ebwanaee.....kumbe uko hai? Kuna jama walidai umesatuka hapa JF....my pal