Nitaka nianze mchakato wa talaka!

Nitaka nianze mchakato wa talaka!

Yani kukaa karibu iwe source ya matatizo? Nachojua long distance relationship ndio ngumu na huwa zinaharibiwa sana na cheating activities baina ya wenzi.

Ukiona unakaa karibu na mpenzi wako mnagombana ujue hamko compatible ama mmezidiwa na ugomvi wa mara kwa mara kitu kinachopeleka mmoja akatafte faraja nje. Na kama alieanza kufanya hivyo ni mwanamke jua uhusiano lazma uyumbe kama sio kufa kabisa. Mwanamke akipenda mtu wa nje ujue umekwisha maana wewe lazma anakuona ng'ombe tu.
Ni kweli,ninachokiona hapa kama maamuzi ya busara yasipotumika mwanaume kuna uwezekano wa kupoteza dira ya maisha ingawa alitumia nguvu nyingi kujipanga.Ata kama wataachana,mali zibaki kuwa ni za watoto.Pia mwanaume asilazimishe talaka kwa sababu akilazimisha mambo ya kugawana mali yataibuka,bali atumie technic ya kumuacha kwa vitendo mfano kutokula chakula cha mkewe,kutokushiriki tendo n.k huku akiwa na bi mdogo kwa nje kwa sababu s.ex ni hitaji muhimu kwa umri wake
 
Habari wana jf.

Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.

Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.

Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.

Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
anaekushauri anapaswa kujua nn chanzo, maana unakuta mke nae anaitaka ndoa, so inahitaji kukaa pamoja na nyie kuwashauri na kuwasikia talaka sio solution
 
Wazee walikuwa akiona mke amekuwa mjeuri au haeleweki anahama nyumba na kusogeza kifaa kingine kwa pembeni.
Anaweza asirudi Tena au akarudi baadaye huyo mwanamke akijirekebisha.
Siku hizi wanaume tunajifanya tunavionea Sana vyeti vya ndoa na wanawake.
Huwezi kuishi na mtu mjeuri ukitegemea wewe utadumu. Na Kama ana watoto yeye hawezi kukufikiria Tena wewe.
Hata chakula anaweza kuwa anakuwekea sababu anapikia watoto hivyo hana namna anakuwekea tu.
Vinginevyo angekuambia uingie jikoni tu.
Ndoa kisiwe kigezo za kufanya uishi maisha ya shida mwanaume mwenzangu.
Wala hata watoto wasiwe ni sababu hiyo.
Yawezekana unaumia kuwafikiria watoto kumbe hata sio wako mwenzako anakucheki tu kwenye bomba unavyomsaidia mwanaume mwenzio kulea.
Kama watoto wako watakutafuta tu kokote kule uliko akili zao zikikaa sawa.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sababu nyingine za ugomvi huwezi mwanaume kujishusha maana ni hatari kwa maisha yako mpk ujue mwenzio Mungu amemkomboa sio kujishusha shusha tu utakufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kaka, tuwapendeni wake zetu lakini sio kuwaabudu. Kuna mambo mengine mwanaume inabidi asimame kama mwanaume. Eti kakosea yeye halafu uombe msamaha wewe. Mbaya saana yaani.

Ndicho kinachonitesa hata mimi, napaona nyumbani kama jahanamu..! Sema niko vibaya tu kiuchumi, nikija pata hela najenga nyumba kwa siri najiondokea zangu. Watoto ntakuwa nawasaidia kiaina wakikua najua wataja nitafuta tu.

Wanawake ni mashetani.! Ndio walioifanya dunia iwe hivi ilivyo kupitia dada yao Eva/Hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mi sitaki kuoa mpaka nikamilishe ujenzi na usafiri wangu kabisa...wife akija basi aje na begi lake tu,,,,mkianza kutafuta wote from the scratch wanakuaga wakorofi kama wamekula pilipili kichaa,,,ntakae muoa kazi yake ni kunizalia watoto tu...sitaki habari za kusaka pesa maana haaaminiki hao...jinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss umesema vema kuwa unamtegemea Mungu, kumbuka kiapo chako mbele ya umati siku ile, ulisema utampenda katika shida na raha, hadi kifo kiwatwnganishe. Dhambi i ayokuruhusu kutoa talaka ni uzinzi wa mkeo, tofauti na hapoukimwacha ukaoa tenautakuwa unazini.hivo jitahidkuwa mvumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume akifikia kuikimbia nyumba mara nyingi mke amekuwa mzinzi na kibri kubwa kwa kumdharau mume kwa sababu ya dereva mpya wa huko nje. ....bahati mbaya wanaume wengi huwa hawafunguki kuelezea uzinzi wa wake zao anaweka kama ni kiburi au ujeuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jf.

Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.

Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.

Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.

Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujasema chanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni zaidi ya Mali. Shida tunaangalia watoto ndo maana kichwa kinaumia. Tukigawana watoto hawataweza kusoma shule za ada hiyo maana majengo ndo yanawasomesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
daah hapa kweli inahitajika busara kubwa..Muombe Mwenyezi Mungu akusaidie katika hili Maana ugomvi wa wazazi unafanya watoto kuwa wanatanga tanga mwishowe wakakosa haki za msingi kutoka kwa wazazi!! Hekima inahitajika katika hili
 
Hizi show off...not once do you think of them kids!

You two were just not ready for marriage..sadly!
 
Jibu rahisi,mali za watoto,watoto ni wababa.Ili kulinda mali mwanaume asianzishe talaka,ni bora mke aanzishe mme apinge ili kulinda jasho lake.
yes hapo wakienda mahakamani au kuwaona wanasheria Akisema Mali ni za watoto!! Amemaliza kila kitu
 
Mwanaume akifikia kuikimbia nyumba mara nyingi mke amekuwa mzinzi na kibri kubwa kwa kumdharau mume kwa sababu ya dereva mpya wa huko nje. ....bahati mbaya wanaume wengi huwa hawafunguki kuelezea uzinzi wa wake zao anaweka kama ni kiburi au ujeuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewashuhudia wengi...hawasemi ukweli kuwa mke amekuwa mzinzi badala yake anatunga uongo eti kiburi or jeuri...sasa ukificha ukweli na sisi wachangiaji tutakujibu kulingana na mada yako fix

Mtu sema ukweli bana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jf.

Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.

Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.

Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.

Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa mzee umeshamuachia vitu vyote then unataka kurudi tena kulianzisha baada ya kuona anadunda tu humtishi kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Talaka nayo ina "process"?

Uislam raha sana.

Mnoooo.... eti process? Unamchapa talaka zake tatu (za kisheria siyo kwa pamoja) anasepa na hakuna sheria ya kugawana mali isipokuwa ukipenda waweza kumpa kiasi akafanyie maisha. Ebboh!
 
Habari wana jf.

Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.

Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.

Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.

Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanya kazi Bank yupo sana mpka anapokaa nijirani na - - - wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiende mahakamani mzee wang hiyo ni fedhea kubwa sana kama mwanaume mpige figisu atakimbia mwenyewe,usimsogelee atakuwekea polonium,kama hati za nyumba kuna jina lake imekul kwako wafwaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Habari wana jf.

Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.

Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.

Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.

Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mzee kwa mtihani, tafuta hata wazee mkae nao muyajenge unajua kuivunja ndoa sio muarobaini wa tatizo lenu but inaonekana distance factor imechangia wewe upo dar wife yupo shinyanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom