Nitaka nianze mchakato wa talaka!

Nitaka nianze mchakato wa talaka!

Ikitokea nimeatengana na huyu wa kwangu wala sitapata shida,nitabeba bag langu na kutokomea kusikojulikana.....pesa,mali,nyumba na magari itabaki kuwa sehemu ya urithi wa watoto wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida wanawake wengi hawawezi kumanage Mali hivyo vyote vitateketea watoto watakosa pa kukimbilia.
Ikitokea nimeatengana na huyu wa kwangu wala sitapata shida,nitabeba bag langu na kutokomea kusikojulikana.....pesa,mali,nyumba na magari itabaki kuwa sehemu ya urithi wa watoto wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesema juu juu tu..unaanzisha talaka kwa sababu zipi hasa......tatizo gani kubwa limetokea..na kwa nii uanzishe kisa kakaa kimya....si usubiri yeye adai ...?
 
Habari wana jf.

Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.

Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.

Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.

Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umalaya, ishi na mkeo kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsuspect tu kama ana relationship Nje. Ameshindwa kujitetea kawa mbogo anaomba tutengane nikaamua kuishi mbali nae. Lkn bado sijafika mahakamani. Kifamilia tumekaa hataki ndoa hivyo ndo nafikiria huyu Mungu atanihukumu vipi nikienda mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
ni pm, nkupe dawa, buree sitaki unipe hata mia, ntakuelekeza matumizi, hicho kinachompa kiburi, kitapotea siku hyo hyo, naamin mkeo ataanza kukuamkia shikamoo!! Nb; uwe na roho ngumu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom