Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Jibu rahisi,mali za watoto,watoto ni wababa.Ili kulinda mali mwanaume asianzishe talaka,ni bora mke aanzishe mme apinge ili kulinda jasho lake.
Shida ilikuwa nn?Baada ya kuanza ugomvi nikafanya maamuzi ya kuondoka maana ningeendelea hasira zingesababisha mengine. Ni bora kukaa mbalu
Sent using Jamii Forums mobile app
babe daktari wangu ujue toka tufahamiane ni miaka 7, yaani kama katoto kapo grade 2 sasa ada tunalipa 2.5m he he tufanye anivesari we mwanaume huu ni zaidi ya uchumba sugu.Aliyeanzisha utaratibu wa mke mmoja ndio chanzo Cha ujeuri wa wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani atakuwa amegongewa, si mnajijua mlivyo mkigongewa hamuwezi kusahau, tushukuru hajakufwa mdau.
Vitu vya kawaida rafiki, ila kuna kitu nimeprove nlikuwa nakuambia unanibishia ila nimejihakikishia mwee, toto anasumbua hapaNimeona aibu nilipoona like yako.
Acha upuuzi kama watu wameshindwa kuishi pamoja ni vyema watengengane au unataka mpaka wachomane visu.mmmh ndoa n.a. iheshimiwe n.a. watu wote.. hata wana ndoa wenyewe.tafuteni mshauri mtapike nyongo zote.... muanze upya it is possible
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema mkatengana maana ushasema una hasira msije chomana visu bure.Baada ya kuanza ugomvi nikafanya maamuzi ya kuondoka maana ningeendelea hasira zingesababisha mengine. Ni bora kukaa mbalu
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona povu hivyo...kuna wengine wakipatanishwa wanatengeneza makosa yao basi familia inakua salama..nadhani unajua madhara ya familia kuvunjika watoto ndio hupata tabu hata wakubwa nao sometimes wanapata shida..maslahi ya watoto kwanza..acha ubinafsi hawakuchinjana visu miaka yote ina mana wanaweza okoa ndoa yao.Acha upuuzi kama watu wameshindwa kuishi pamoja ni vyema watengengane au unataka mpaka wachomane visu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kukaa karibu iwe source ya matatizo? Nachojua long distance relationship ndio ngumu na huwa zinaharibiwa sana na cheating activities baina ya wenzi.Kwa umri wako,kuacha mke,kupoteza mali,na watoto kutangatanga ni kukaribisha umasikini na mateso makubwa ya maisha yako huko mbeleni;ninachoweza kukushauri kama bado una nguvu ya ujenzi,tafuta mkoa uliotulia kama Arusha,jenga nyumba yako na usisikilize ushauri wa mkeo,baada ya hapo amia na kama bado unampenda mwenzi wako unaweza kumuita,akikataa unaweza kuwa na mchepuko unaojitambua huku maisha yakisogea.Huku ukiendelea kumiliki mali zako na watoto ukiendelea kuwasomesha.Na mwisho wa siku bi mkubwa atakufuata mwenyewe na kukuomba msamaha.Kukaa mazingira ya aina moja muda mrefu yanaweza kuharibu uhusiano.
HahahahahJirani atakuwa amegongewa, si mnajijua mlivyo mkigongewa hamuwezi kusahau, tushukuru hajakufwa mdau.
Kwakweli.
Mkeo kabila gani kwani sorry mkuuChanzo kirefu sana. Nimejitahidi kufupisha kwenye quotes nilizowajibu watu. Kuna siku nitaweka full story ya haya mambo mjifunze wanawake walivyo kwenye mambo ya mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Broo unajua thamani ya kuishi huru AMANI na furaha hakuna ndoa nguma kwa mtu anayeishi nawe sababu ya kupata kitu na si upendo kati yenu saivi wanamali walizozitafuta pamoja mke hajali kuachana nawe unaisi kipi bora kugwana Mali au kumuachie azitapanye badaye uje kujuta bora ata wabadilishe Mali kwa kuwamilikisha watoto ila iviivi zitapoteza zote badaye aanze kujuta upya na ubaya wa watoto wengi wanabakigi upande wa mama yako badaye watakuja kukulaumu ata kukutunza hawatakutunzaUsimuache kwa Talaka! Komaa naye hivyohivyo ili yeye mroho wa mali ndo alianzishe mahakamani. Akifungua yeye madai atapata mali kidogo kulinganisha na wewe. Atakuwa yeye nfo anakuacha wewe
Sent using Jamii Forums mobile app