Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)?

leo sijui nina nini, ninasoma kila kitu katikati ya herufi.
Haya hebu weka wazi zaidi ili hata vidigi digi vielewe........
.... unatamani kuniona?! unataka kuwa muangaliaji au mshuhudiaji? Au wewe ndo uwe kwenye :car: then :love::love::rolleyes::rolleyes::sleepy::sleepy: then:car::car:
hahahhah umenichekesha JAMAN!!!!!
aya ntakuwa ndani ya tukutuku then gari off then tendo then fyuuuuuuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuuu miruzi miiiiiiiiiing wakat uo najikung'uta vumbi sjui majan!!!!!!!
 
Nimegundua kwamba kadiri kamnyama kanavyozidi udogo basi kero yake huongezeka.....kanaweza kasiwe na madhara ila kakawe kero kubwa....kama mbu vile! Sasa huyu The Finest anaingia kwenye kategori ya vinyama vidogo vinavyokera, kama mbu!

Hebu rudia mara moja...
sasa nirudie ninin?kusema au kutenda?
km kutenda SJAWAI KUTENDA.......au unataka ukanitende ili niwe nimetenda namimi?:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
:boink::boink::argue::argue::fencing::fencing:
 
sasa nirudie ninin?kusema au kutenda?
km kutenda SJAWAI KUTENDA.......au unataka ukanitende ili niwe nimetenda namimi?:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
hahahhah umenichekesha JAMAN!!!!!
aya ntakuwa ndani ya tukutuku then gari off then tendo then fyuuuuuuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuuu miruzi miiiiiiiiiing wakat uo najikung'uta vumbi sjui majan!!!!!!!
Yule kaka wa samaki na majogoo hajaona hii!
Mambo mengine ya logistiki tutamaliza kwenye PM
 
Back
Top Bottom