Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,120
Hao wakiwa wa kike,wakiume ni Fari na Farisayo😆😆Sadu na sadukayo
Hao wakiwa wa kike,wakiume ni Fari na Farisayo😆😆Sadu na sadukayo
Hivi hayo sio mabasi yao jamani?😂Lunyala na Luwinzo
Ndio majina si wametoa kwaoHivi hayo sio mabasi yao jamani?😂
Daaah sawa...Ndio majina si wametoa kwao
Jinsia yoyote, ila kulwa ni Tuzinde na Doto ni mshinda.Haya ya jinsia gan
Kuna Lecturer wangu mmoja alikuwa anaitwa Mpoki Mwakinyuki ni mnyakyusa wa Tukuyu.Hamna mtu wa ivo ukanda wa kusini
Sasa kama hujui kibena unaulizia majina ya nini.wewe ndiyo tafuta maana yake.Uwe unasema na maana yake
Daaah sawa...
Bado kidogo watatajwa wanyamaHivi hayo sio mabasi yao jamani?😂