KISANDU: SIJATUMWA NA CHAMA WALA NA ZITTO.
Baada ya tamko langu la kutaka kugombea urais la jana tarehe 8/10/2012 limeleta sura tofauti na mitazamo tofauti, wengine wakini chafua kwenye mitandao yakijamii na wengine hata kunipigia simu za kunipinga. Wapo wanaosema nimetumwa na CHADEMA ili kupunguza nguvu ya kaka ZITTO ili aonekane wa kawaida sana, wapo wanaosema nimetumwa na ZITTO ili kuendelea kumjengea mazingira, wapo walio sema mimi natoka kanda ya kaskazini na ni mkristu. Haya ni mitazamo ya watu isiyo fanyiwa utafiti kwa kile wanachokisema.
Hivi hii dhana ya mtu akiongea anachofikiri, watu wanasema katumwa, inatokana na nini? kwani mtanzania hawezi kusema mpaka atumwe? Nasema tena NITAGOMBEA URAIS na staacha mpaka kieleweke. Mimi sija tumwa na mtu nimetumwa na Mungu hivyo wamulaumu Mungu. Roho yangu ni kuonesha ukweli kuhusu upendo wangu kwa watanzania wenzangu. Roho ya Kisandu ni nyeupe kama saruji. Upendo wa Kisandu kwa watanzania ni kuwatumikia watanzania, nawashangaa wabunge vijana wanao sema eti vijana wasikurupuke. Wabunge wa aina hii hawawatakii mema watanzania maana hawapendi kuona rutuba ya vijana kama Kisandu tena mwenye uchungu na watanzania.
Mimi sitokei kanda ya kaskazini, nipo huko Tanga kikazi kwa nafasi yangu ya uongozi ndani ya chadema huko Tanga, ambako ndiko na elimu yangu ya chuo kikuu nilikoipatia kabla ya ile ya diploma ya elimu niliyo ipata pale chuo cha ualimu Tabora. Mimi nimzaliwa wa wilaya ya kahama, mkoani shinyanga, tena shule ya msingi mpaka sekondari nimesoma hukohuko. Labda kwasababu niligombea ubunge 2010 jimbo la lushoto(Tanga), wasome katiba vizuri wajue sifa za kugombea Ubunge.
Unajua kundi fulani linakereka sana kutaka kuwa mtumishi wa watanzania, usomi siyo kuvaa tai, suruali za vitambaa, suti au usharobaro bali ni kuhamasisha wananchi ili walete mabadiliko yenye maendeleo na sio kusifia ujinga unaosemwa na kila kiongozi unayemwamini.
Mimi na sikitika sana mtu anaponisema vibaya, ndio maana najiuliza maswali mawili, ni nani anayesema na kwanini anasema? Huenda nayeye si yeye na mimi naweza sema katumwa kuniharibia. Nasema tena hamuwezi kuzuia mipango ya Mungu isitimie, Urais nitagombea maana uhuru na maendeeo huhusiana kama kuku na yai lakini ukiweza kuwa na akili timamu, wakati kila mtu ameigizwa wazimu, wewe ni mtu maarufu. Wananchi watanzania wote wana akili timamu, uozo wa viongozi wao wanauona unaharufu mbaya sana na Plato aliwahi kusema " uovu ni tokeo la kukosa maarifa" sasa viongozi wetu huenda wamekosa maarifa ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayodaiwa na wananchi silalamiki sana lakini nasema tu.
Ni fursa pekee sasa vijana kuikomboa Tanzania na kuepuka na ule upungufu usemao vijana ni taifa la kesho. Nasasa vijana ni Taifa la Leo.
Deogratius Kisandu
Katibu wa Baraza la Vijana wa chadema mkoa wa Tanga.
9 oktoba 2012
KISANDU: SIJATUMWA NA CHAMA WALA NA ZITTO.
Ni fursa pekee sasa vijana kuikomboa Tanzania na kuepuka na ule upungufu usemao vijana ni taifa la kesho. Nasasa vijana ni Taifa la Leo.
Deogratius Kisandu
Katibu wa Baraza la Vijana wa chadema mkoa wa Tanga.
9 oktoba 2012
Kisandu hebu acha mambo yako ya utani utani bwana,tumeisha cheka inatosha,sasa nakupa ushauri kama kaka yako,CHADEMA kwa Kahama inapendwa sana lakini haijawahi kupata mgombea strong,huyu Lembeli ni Mwepesi sana sema hajapata mpinzani wa uhakika.Hebu jipange 2015 ukagombee ubunge Kahama,USIPOTEZE MUDA KUONGELEA KITU AMBACHO ROHONI UNAJUA NI NGUMU KAMA KUCHOTEA MAJI KWENYE PAKACHA,labda kama unataka uwekwe kwenye historia kama wakina DOVUTWA au MZIRAY kuwa uliwahi kugombea urasi basi.KISANDU: SIJATUMWA NA CHAMA WALA NA ZITTO.
Baada ya tamko langu la kutaka kugombea urais la jana tarehe 8/10/2012 limeleta sura tofauti na mitazamo tofauti, wengine wakini chafua kwenye mitandao yakijamii na wengine hata kunipigia simu za kunipinga. Wapo wanaosema nimetumwa na CHADEMA ili kupunguza nguvu ya kaka ZITTO ili aonekane wa kawaida sana, wapo wanaosema nimetumwa na ZITTO ili kuendelea kumjengea mazingira, wapo walio sema mimi natoka kanda ya kaskazini na ni mkristu. Haya ni mitazamo ya watu isiyo fanyiwa utafiti kwa kile wanachokisema.
Hivi hii dhana ya mtu akiongea anachofikiri, watu wanasema katumwa, inatokana na nini? kwani mtanzania hawezi kusema mpaka atumwe? Nasema tena NITAGOMBEA URAIS na staacha mpaka kieleweke. Mimi sija tumwa na mtu nimetumwa na Mungu hivyo wamulaumu Mungu. Roho yangu ni kuonesha ukweli kuhusu upendo wangu kwa watanzania wenzangu. Roho ya Kisandu ni nyeupe kama saruji. Upendo wa Kisandu kwa watanzania ni kuwatumikia watanzania, nawashangaa wabunge vijana wanao sema eti vijana wasikurupuke. Wabunge wa aina hii hawawatakii mema watanzania maana hawapendi kuona rutuba ya vijana kama Kisandu tena mwenye uchungu na watanzania.
Mimi sitokei kanda ya kaskazini, nipo huko Tanga kikazi kwa nafasi yangu ya uongozi ndani ya chadema huko Tanga, ambako ndiko na elimu yangu ya chuo kikuu nilikoipatia kabla ya ile ya diploma ya elimu niliyo ipata pale chuo cha ualimu Tabora. Mimi nimzaliwa wa wilaya ya kahama, mkoani shinyanga, tena shule ya msingi mpaka sekondari nimesoma hukohuko. Labda kwasababu niligombea ubunge 2010 jimbo la lushoto(Tanga), wasome katiba vizuri wajue sifa za kugombea Ubunge.
Unajua kundi fulani linakereka sana kutaka kuwa mtumishi wa watanzania, usomi siyo kuvaa tai, suruali za vitambaa, suti au usharobaro bali ni kuhamasisha wananchi ili walete mabadiliko yenye maendeleo na sio kusifia ujinga unaosemwa na kila kiongozi unayemwamini.
Mimi na sikitika sana mtu anaponisema vibaya, ndio maana najiuliza maswali mawili, ni nani anayesema na kwanini anasema? Huenda nayeye si yeye na mimi naweza sema katumwa kuniharibia. Nasema tena hamuwezi kuzuia mipango ya Mungu isitimie, Urais nitagombea maana uhuru na maendeeo huhusiana kama kuku na yai lakini ukiweza kuwa na akili timamu, wakati kila mtu ameigizwa wazimu, wewe ni mtu maarufu. Wananchi watanzania wote wana akili timamu, uozo wa viongozi wao wanauona unaharufu mbaya sana na Plato aliwahi kusema uovu ni tokeo la kukosa maarifa sasa viongozi wetu huenda wamekosa maarifa ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayodaiwa na wananchi silalamiki sana lakini nasema tu.
Ni fursa pekee sasa vijana kuikomboa Tanzania na kuepuka na ule upungufu usemao vijana ni taifa la kesho. Nasasa vijana ni Taifa la Leo.
Deogratius Kisandu
Katibu wa Baraza la Vijana wa chadema mkoa wa Tanga.
9 oktoba 2012
Eti mkuu, akazane na M4C halafu tuone mchango wake. Tanga inamshinda, itakuwa Tanganyika?Kisandu hebu acha mambo yako ya utani utani bwana,tumeisha cheka inatosha,sasa nakupa ushauri kama kaka yako,CHADEMA kwa Kahama inapendwa sana lakini haijawahi kupata mgombea strong,huyu Lembeli ni Mwepesi sana sema hajapata mpinzani wa uhakika.Hebu jipange 2015 ukagombee ubunge Kahama,USIPOTEZE MUDA KUONGELEA KITU AMBACHO ROHONI UNAJUA NI NGUMU KAMA KUCHOTEA MAJI KWENYE PAKACHA,labda kama unataka uwekwe kwenye historia kama wakina DOVUTWA au MZIRAY kuwa uliwahi kugombea urasi basi.
Hiyo taarifa,umeisoma yote? Ni Lushoto Tanga,2010.Mh, Alishawahi kuwania ubunge huyu jamaa? Wapi na lini?
Hiyo taarifa,umeisoma yote? Ni Lushoto Tanga,2010.