Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

NITAGOMBEA URAIS

Watanzania wanahitaji MABADILIKO na MABADILIKO haya hayawezi kuja bila Watanzania KUAMUA. Na bila Mtanzania mmoja kujitoa kuongoza MABADILIKO haya, na mimi ni mmoja wao. Nimedhamiria, ninaweza kuwa raisi wa Tanzania leo, kesho au keshokutwa. Watanzania wanahitaji kujua KISANDU Deogratius ni nani?Anafanya nini na ana malengo gani kwa mustakabali wa Taifa la Tanzania.

Mwalimu Nyerere alipewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi yetu akiwa hajawahi kushika madaraka makubwa serikalini kama Uwaziri (kabla ya uhuru), na wala hajawahi kuwa Mbunge lakini aliweza kuwaunganisha watanzania na kupata uhuru wa kisiasa. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ya kiuchumi. Kazi hii lazima iongozwe na Mtanzania Mmoja na mimi ni mmoja wao ambaye sijawahi kuwa Mbunge wala Waziri zaidi ya uongozi ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Tulidhani Marais ambao wameliongoza Taifa letu wakiwa na uzoefu wa Ubunge, Uwaziri n.k. kabla ya kupata nafasi ya Urais wangeweza kuliongoza Taifa hili kwa ufanisi zaidi kushinda Mwalimu Nyerere lakini badala yake wameonyesha udhaifu mkubwa ambao unatupa tafsiri kwamba taifa hili halihitaji kiongozi wenye uzoefu mkubwa bali kiongozi mwenye maono, umakini, uadilifu na hofu ya Mungu.

Mwanasiasa yoyote mwenye kipaji na maono hawazi jana na leo, anawaza jana, leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo n.k. Jambo la msingi ni kutazama ni kwa jinsi gani tunaweza kupata UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU.

NIMEDHAMIRIA, NINAWEZA, Nitagombea Urais

Deogratius KISANDU
Katibu Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA)
Mkoa wa Tanga

3 Octoba 2012

kila la heri kaka.
 
Kila mtu anadhani anaweza, haya mkuu kaza mwendo ila ujue kuwa kiongozi wa nchi siyo sawa na kumwongoza mkeo!!!!!
 
Rais wa TFF au? maana uchaguzi wa TFF unakuja soon!kila heri uboreshe mpira wa Tanzania~
 
[/QUOTE

Umeshagombea udiwani au Ubunge?
 
Lawama zote atabeba zitto,sbb virus wa kuropoka Urais ndani ya chama kaleta yeye na kiherehere chake cha mama mwajey!tunakuchukia more than u thinkin about.Zitto ebu jaribu kuji-right click alafu uji-refresh!!

Hata mimi nitagombea urais,hakuna cha zito,slaa wala mbowe kili mtu anautaka uraisi kama wewe mpaka upewe startar kwa nyuma ndio unaelect kivyako,wenye akili wanajiandaa kuliokoa taifa hili kwa akili zao binafsi.
 
Endeleeni kutumiwa tu mapimbi watupu nyinyi.

Pimbi ni wewe usiyejua maana unaendeshwa na upepo Kama bendera si ajabu ukiambiwa nenda haja kubwa hadharani utaenda sababu kasema Fulani ndani ya CDM.

Mpuuzi tu wewe, si wa kiwango changu tafuta wajinga wajinga wenzanko.

Hakuna mwoga ndani ya chama makini ila huu ni upuuzi wenu mnaouleta sasa hivi kwa ajili ya njaa zenu,endeleeni tu na usaliti wenu huku mkijifanya ni mambo ya demokrasia,sasa tuna kazi moja tu ya kutoa elimu ya uraia mnaibuka na ujinga wenu....hatutawavumilia ni lazima tuwaambie ukweli....mnatumiwa na maadui zetu.

Unafaa kuungana na isha mashauzi mkatoa album na sio kuja JF kupost utumbo

Katika hizi Post zenu kuna hoja mmeijadili??
 
Tafadhari msipoteze muda wenu wana Jf kisandu ni nyenyele kabisa. Mimi nimesomanae class moja SEKUCO namfahamu kweli ni mwanaharakati anasubutu lakini kwa hili amekurupuka aliomba ushauri kwa nani huyu? Uongozi ni mchakato na lazima uwe na mwangalizi sasa Kisandu mwangalizi/mlezi wake ni nani huyo hata akamshauri kuwa afikirie Urais? Nashauri Kisandu aachane na matamko haya ya kijinga arudi Lushoto ajenge chama then 2015 amuondoe Shekifu na ccm. Please asipoteze muda kumwelekeza yapasayo.
 
NITAGOMBEA URAIS

Watanzania wanahitaji MABADILIKO na MABADILIKO haya hayawezi kuja bila Watanzania KUAMUA. Na bila Mtanzania mmoja kujitoa kuongoza MABADILIKO haya, na mimi ni mmoja wao. Nimedhamiria, ninaweza kuwa raisi wa Tanzania leo, kesho au keshokutwa. Watanzania wanahitaji kujua KISANDU Deogratius ni nani?Anafanya nini na ana malengo gani kwa mustakabali wa Taifa la Tanzania.

Mwalimu Nyerere alipewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi yetu akiwa hajawahi kushika madaraka makubwa serikalini kama Uwaziri (kabla ya uhuru), na wala hajawahi kuwa Mbunge lakini aliweza kuwaunganisha watanzania na kupata uhuru wa kisiasa. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ya kiuchumi. Kazi hii lazima iongozwe na Mtanzania Mmoja na mimi ni mmoja wao ambaye sijawahi kuwa Mbunge wala Waziri zaidi ya uongozi ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Tulidhani Marais ambao wameliongoza Taifa letu wakiwa na uzoefu wa Ubunge, Uwaziri n.k. kabla ya kupata nafasi ya Urais wangeweza kuliongoza Taifa hili kwa ufanisi zaidi kushinda Mwalimu Nyerere lakini badala yake wameonyesha udhaifu mkubwa ambao unatupa tafsiri kwamba taifa hili halihitaji kiongozi wenye uzoefu mkubwa bali kiongozi mwenye maono, umakini, uadilifu na hofu ya Mungu.

Mwanasiasa yoyote mwenye kipaji na maono hawazi jana na leo, anawaza jana, leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo n.k. Jambo la msingi ni kutazama ni kwa jinsi gani tunaweza kupata UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU.

NIMEDHAMIRIA, NINAWEZA, Nitagombea Urais

Deogratius KISANDU
Katibu Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA)
Mkoa wa Tanga

3 Octoba 2012

Haya wahusika JF aka CHADEMA wekeni kura za maoni (polls) Mh Slaa Vs Deogratius KISANDU.

Mchezo umeanza, Ngoma mpya kabisa. Lakini ana Umri gani na anatokea wapi, kaka usisahau kuuliza ni dini gani.......

Na asubiri kura nyingine Mh Slaa Vs Mh Sumaye. Baada ya hapo asubiri ROBO FAINALI.

Kazi kwenu !!!
 
kiukweli jk ametu-cost,kisandu huyuhuyu ninayemfaham?,aliyeshindwa hata kujieleza siku anagombea uwenyekiti wa bavicha taifa?hata sijui aliambulia kura ngapi pale sabasaba.Ila huyu jamaa ni mroho sana wa madaraka.Kikwete amesababisha kila mtu anaona kuwa anaweza kuwa rais?tusubiri.
 
Mnashangaa nini mtu kutaka kuwa raisi wa Tanzania mshangaeni anayetaka kuwa rahisi tu. Kwani kuna ma-Rais wangapi TZ? nini Jk kwani Tenga sio Rais?, na ana Rais mwingine chini yake pale Yanga FC na Wote wanaongoza Tz nzima!. LOL.
 
Nilichokigunduwa kuna watu wanatafuta umaarufu ushuzi ili baadaye wakija kugombea Ubunge majimboni mwao wawe wanafahamika tayari, lakini mimi nitakuwa wa kwanza kuwapinga wanasiasa uchwara kama hawa na kura yangu ni heri nimpigie mgombea wa CCM ambaye atakuwa safi kwenye jimbo.

Kuna mwingine eti alikurupuka akatangaza anagombea Uenyekiti wa CCM ili ashindane na JK, hivi hili lilikuwa linaingia akilini? kumbe lengo kuu la watu hawa ni kutafuta free air time tu na hakuna lingine.
 
Tuntemenke Vs zawadi Ngoda.

Haya wahusika JF aka CHADEMA wekeni kura za maoni (polls) Mh Slaa Vs Deogratius KISANDU.

Mchezo umeanza, Ngoma mpya kabisa. Lakini ana Umri gani na anatokea wapi, kaka usisahau kuuliza ni dini gani.......

Na asubiri kura nyingine Mh Slaa Vs Mh Sumaye. Baada ya hapo asubiri ROBO FAINALI.

Kazi kwenu !!!
 
Huyu nae ana tafuta umaarufu tu ili tumjadili na kuacha mambo ya msingi! Watu kama hawa ni waku puuza tu.
 
There are many ways of becoming popular :A S-coffee:
 
Kila mtu anadhani anaweza, haya mkuu kaza mwendo ila ujue kuwa kiongozi wa nchi siyo sawa na kumwongoza mkeo!!!!!
Huyu anayewaza kuwa Nyerere wakati anakamata nchi hakuwa na uzoefu, anapwaya hata kwenye hiyo nafasi ya BAVICHA Tanga. CDM inahitaji viongozi wanaoweza kufikirisha vichwa vyao, si kama huyu. CDM haijajijenga huko Tanga, pengine ndiyo sababu huyu naye ni kiongozi.
 
Huyu nae ana tafuta umaarufu tu ili tumjadili na kuacha mambo ya msingi! Watu kama hawa ni waku puuza tu.

Umenena kweli mkuu. Hizi ni pre-mature wishful thinking ambazo mashiko yake urefu ni pua na mdomo. Pua kunusa upepo unakwendaje baada ya kupima na mdomo kupata ya kujadili vijiweni kuwa na nami nimetangaza kugombea uraisi kupitia jf. Wakati mwingine huhitaji kuwa na shahada ya kupiga mbizi kujua aina ya watu wanao penda kupima kina cha maji.

"Demokrasia ikitumika vibaya ina kuwa ni fujo"Dr kitila mkumbo. Mimi nasema uhuru wa maoni na ndoto za kufikiri kesho uongee nini ili watu wakusikilize ni vurugu za maono.
 
NITAGOMBEA URAIS

Kazi hii lazima iongozwe na Mtanzania Mmoja na mimi ni mmoja wao ambaye sijawahi kuwa Mbunge wala Waziri zaidi ya uongozi ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Mwanasiasa yoyote mwenye kipaji na maono hawazi jana na leo, anawaza jana, leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo n.k. Jambo la msingi ni kutazama ni kwa jinsi gani tunaweza kupata UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU.

NIMEDHAMIRIA, NINAWEZA, Nitagombea Urais

Deogratius KISANDU
Katibu Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA)
Mkoa wa Tanga

3 Octoba 2012
Wakati mwingine jaribuni sana kusimama na chama chenu badala ya ushabiki na kam ahamuwezi basi hata kuiheshimu katiba ya nchi... Kwa tunaokusoma hapa tunaweza tu kuelewa ya kwamba umeandika haya ili kumfurahisha mtu. Ni Ujinga ulioje kwako wewe katibu wa Baraza la vijana Chadema huko Tanga kutoheshimu katiba ya nchi hii inayowataka wagombea Urais kuwa na umri ausiopungua miaka 40.

Jamani hadi hapo Katiba itakapo badilika, wewe Mtanzania unatakiwa KUILINDA, kaa itabadilika hapo ndipo unaweza kuweka madai kama haya.. Maneno kama haya mnakiweka chama ktk nafasi mbaya sana kisiasa, mnaona sifa kujitangaza? acheni ujinga.. Alaaa! mnakuwa kama Jussa wa CUF jamani? - Fanyeni heshima kidogo kuitambua na kuheshimu katiba ya nchi yetu...
 
Back
Top Bottom