Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Deo kisandu huyu ni katika wao ni mkristo mwenzao anatoka kaskazini si tatizo, Tatizo lipo kwa Zitto huyu si katika wao, mgombea wa CHADEMA anapendekezwa na CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION, CDU.

Kaka huyu Deo Kisandu ni kiongozi tu huko Tanga ila anatokea mkoa wa Shinyanga(kahama) ukitaka kujua tafuta kitabu kinachoitwa Ukombozi wa Pili wa taifa letu soma kwa nyuma ndo utapata picha....lakini mm nampongeza ni demokrasia na je Dr. Slaa, Mbowe au Zzk wakishuka umarufu wa siasa nani atasimama kama watu hajajitokez
 
Uraisi sio safari wala sio kitu cha kuki kimbilia kiasi iki kwani kila anaye amka asubuhi na kuanza kujitangazia nia ii ina sababisha na watu kuto ku jari taifa na kuweka maslai ya ke mbele uraisi sio rahisi ivyo
 
Alafu nashangaaa magazeti nayo yaandika sakata la uraisi laendelea CDM kama nalo ni tatizo kubwaaaaaaa
 
Lawama zote atabeba zitto,sbb virus wa kuropoka Urais ndani ya chama kaleta yeye na kiherehere chake cha mama mwajey!tunakuchukia more than u thinkin about.Zitto ebu jaribu kuji-right click alafu uji-refresh!!
 
Wanajamvi kwenye uchambuzi wa Magazeti Star TV Asubuhi kuna habari kwenye gazeti la Majira ya Katibu wa BAVICHA-CDM Mkoa wa Tanga Deogratius Kisandu naye ameungana na Zitto Zuberi Kabwe kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya kugombea urais kupitia CDM.

Kwa mujibu wa Kisandu anaamini ana sifa zote za kumwezesha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

My Take:
-Urais sasa umekuwa rahisi kiasi kwamba, kila mtu anaweza kuutaka bila hata kufanya utafiti wa kutosha kuona ni kwa kiwango gani anakubalika si tu ndani ya CDM bali pia miongoni mwa Wananchi.
-Vijana wa CDM wanahitaji kufundwa sasa maana picha inayo onekana ni ya uroho wa m adaraka tu miongoni mwao.

Lawama zote sasa tutazipeleka kwa Kamati Kuu ya chama endapo watashindwa kutoa mwongozo mapema kuhusu hili jambo.Ukimya wa Kamati kuu unatoa fursa kwa mtu yeyote hata kama ni kichaa kuropoka jambo lolote bila kuangalia utamaduni na ustaarabu wa kulinda umoja na mshikamano ndani ya chama.
Narudia tena kusema hatari yoyote ya kuvunja umoja na mshikamano wa chama ikiendelea basi mikono ya wajumbe wote wa Kamati Kuu itakuwa imejaa damu na kamwe hawatakwepa laana ya Watanzania wanaolilia ukombozi kupitia CDM
 
Deo kisandu huyu ni katika wao ni mkristo mwenzao anatoka kaskazini si tatizo, Tatizo lipo kwa Zitto huyu si katika wao, mgombea wa CHADEMA anapendekezwa na CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION, CDU.

Hata kama ni uhuru wa kutoa maoni lakini si kwa style hii,hv mods mpo?pigeni ban watu kama hawa jamani,huu mtindo wa magamba kusema hovyo hovyo unazoeleka humu jamvini matokeo yake jamvi linadharaulika,hatupendi huu upuuzi wa watu wachache.
 
Vijana watulie waache mbwembwe za kuutaka urais, wajikite kwanza kwenye kujenga chama hatimaye wapiga kura watawafahamu na baadae kufikiriwa na chama baada ya kufahamika dhamira yao.
 
Deo kisandu huyu ni katika wao ni mkristo mwenzao anatoka kaskazini si tatizo, Tatizo lipo kwa Zitto huyu si katika wao, mgombea wa CHADEMA anapendekezwa na CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION, CDU.

Ukristo na Uislamu havina sababu ya kuwa maadui. Wana sababu nyingi zaidi za kuwaleta pamoja kuliko za kuwatenga. Nakushauri kachukue kozi moja tu ya Comparative Religious Studies kwenye chuo kikuu chochote cha Kiislam upunguze upumbavu ulionao wewe na wengine wa aina yako. You are very, very shallow.
 
waache watangaze kwani nini bhana. @ the end of the day vikao vya chama ndo vitaamua.
 
CDM wanatumia strategy hiyo ili kui-water down hoja ya kipuuzi ya Msaliti Fisadi Zitto

zitto ni nguzo mhm sana ktk cdm wewe acha kuropoka hapa jukwaani.mchango aliouonyesha zitto ktk chadema we hujaufikia hata theluthi.ni bora ukae kimya kama huna la kuongea
 
Ukristo na Uislamu havina sababu ya kuwa maadui. Wana sababu nyingi zaidi za kuwaleta pamoja kuliko za kuwatenga. Nakushauri kachukue kozi moja tu ya Comparative Religious Studies kwenye chuo kikuu chochote cha Kiislam upunguze upumbavu ulionao wewe na wengine wa aina yako. You are very, very shallow.

kwanini umesema aende chuo cha kiislam na sio cha kikristo??? una chuki na uislam wewe.
 
Mjomba akisikia jina la Zitto hana amani kabisa na mstakabali wa maisha yake ndani ya chadema.
ngoja malemo aje tusikie kauli ya chama manake juzi povu lilimtoka kidogo achanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom