Tabia za kuwatesa watu kimabavu zilishapitwa na wakatiPolisiccm hushitakiwa sana ingawa wengi hawajui kuwa hakuna aliye juu ya Sheria na hapo ndipo Polisiccm hutumia huo udhaifu wa kutojua haki na Sheria kuwatesa watu kuwapiga kuwalipa wakubali ugaidi ambao haupo , kuhoji watu kwa kuwapiga kutojua maana ya PGO nk
kinacho kusumbua wewe ni ubinafsi.Jeshi letu wewe na nani? Weledi upi? Kufukuza watu mahakamani ni weledi? Pongezi kwa IGP kwa lipi? Kuwabambikia kesi wapinzani ni kufanya kazi kwa weledi? Kingai mahita kuwatesa watu kuwafunga pingu mikono miguu saa 24 ni kufanya kazi kwa weledi?
HaweziKwa kuwa kajitoa mhanga ni mara 100 aombe mawakili wa kimataifa ili waweze kuweka hiyo kesi kidunia iwe kama alama ya kuonyesha mapungufu ya Polisiccm kwenda idara ya ukamataji na mahojiano
Seems unajiona uko safe sana, hiyo michezo michafu ya polisi na CCM kuna siku utaingia anga zao au hata watoto wako then ndio utajua, na hata ndugu zako au watoto zako pia wanaweza kuwa chadema kesho, wakitekwa au kubambikiwa kesi na kupotezwa sijui utaongea nini? ushahidi upo watu wengi sana wamepotea na mimi personally nawajua wawili tangu 2019 hawajulikani walipo, wakati mwingine nashindwa kuamini kuna watu wapumbavu kama weweKabla ya kuhangaika sana ebu tutolee ufafanuzi kati ya kutekwa na kukamata kwa mujibu wa uelewa wako wewe!
Siku hizi CHADEMA mmekuja na mbinu ya kutangazia umma mnatekwa wakati ukweli ni kwamba mnatenda jinai, halafu mkikamatwa mnakinbilia kutangaza mitandaoni uzushi wa kutekwa.
Mbona hamuendi vituo vya polisi kutoa taarifa ya kutekwa kwenu?
Lini mtaacha hizi siasa UCHWARA?
May beTumpe moyo mleta uzi anaweza akaingizwa kwenye maandiko ya msingi kwenye vitabu hapa Tanzania.
Ipo siku isiyo na jinaMay be
Propaganda unazo wewe hata porojo unazo za kutosha kitendo cha kufagilia ujinga wa Polisiccm ni kitendo haramu cha kishetani, wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni lakini ni mtetezi uliye na rombo mbaya msaka uteuzi pasipo kujali haki za binadamu, ebu tueleze alipo mwenyekiti wa baraza la wazee chadema? ebu tueleze alipo Lt urio na Moses lijenje wa jwtz? wewe si mtetezi wa uonevu wa Polisiccm ebu tueleze hayo ?kinacho kusumbua wewe ni ubinafsi.
unataka sheria ifanye kazi na itakelezwe kwa watu wengine ila hutaki kuona watu unao wapenda wakichukuliwa hatua za kisheria!!!
Maana ya neno "sheria ni Msumeno" maana yake msumeno kazi yake ni kukata mbele na nyuma bila kujali wewe ni nani na ni wachama gani au rangi gani.
kwa zama hizi ukikamatwa na Jeshi la Polisi basi ufahamu wewe ni mkosaji na sio vinginevyo.
nimeona Jeshi la Polisi sasa linafanya kazi zake kwa weledi wa juu sana ukilinganisha na huko tulipo toka.
Adamoo yuko mahakamani ni mtuhumiwa, kama kweli aliteswa basi ushahidi upo utaamua, sio swala la kukubali kila POROJO.
hata siku mmoja hakuna muhalifu/mtuhumiwa aliye wahi kukiri kosa hata kama amekamatwa na ushahidi papo hapo, mara zote huwa wanakataaa lkn badae ushahidi ukitoka wana pigwa mvuwa!!!,
sasa utasema hapo alibambikiwa?!
nawasihi wafuasi wa Mbowe acheni kupaparika, acheni kulazimasha ukweli uwe uongo, acheni kuleta propaganda za kisiasa kwenye mambo ya kisheria.
Muulize Zero anajua....Kule mwanza jana mliandamana?
Haya mambo ya kutishiatishia msituletee humu. Fungus kesi ndio utwambie!Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni sawa sawa na kuteka? Na je utaratibu wa kuteka raia unatakiwa uweje? Yaani kabla raia hajatekwa ni hatua zipi za kufuata kabla ya tukio hilo? Na je ni haki zipi za mtu anayetekwa na polisi?
Utaratibu wa kukamata Raia unajulikana ila utaratibu wa kuteka raia haujulikani, kwa hiyo nitaiomba mahakama kuu itoe utaratibu mzima, na kama ni halali au haramu kwa polisi kuteka raia itamke waziwazi, na nitaiomba mahakama kama kuteka ni kitendo haramu basi itoe adhabu kali kwa polisi yeyote atakayejihusisha na utekaji raia.
Naiomba mahakama kuu isiogope kupokea na kusikiliza shauri hili, iige wenzao wa kenya wanavyotoa maamuzi bila kuangalia sura ya mtu.
Nawasilisha.
Unaugua Fungus?Haya mambo ya kutishiatishia msituletee humu. Fungus kesi ndio utwambie!
Hoja umeilewa. Usituletee vitisho humu. Nitafungua, nitafungua! Pumabavu!Unaugua Fungus?
Upuuzi wa CCm mnajiona mko mbinguni kumbe hakuna watu wenye shida kama CCMHoja umeilewa. Usituletee vitisho humu. Nitafungua, nitafungua! Pumabavu!
ccm watakuita mchochezi.Tatizo ni moja :
Watu wema wameamua kuwa chini ya waovu.
Bado bara la Afrika halijakombolewa.
Waafrika wanajazana Makanisani na Misikitini kutetea nafsi zao huku wakishiriki au wakitumika au wakinyamazia nafsi za Waafrika wenzao zikiwa zinaangamizwa na binadamu wenzao waliolewa madaraka na Mali.
Yaani Kikundi cha watu wachache waovu kimewakalia watu wema kwa nguvu ya pesa na Madaraka.
Kwa sasa CCM kwa kulitumia Jeshi la Polisi haina habari tena na kitu kinachoitwa siasa safi ya ushawishi na kuwaheshimu wapiga kura kwa kuwa wapende wasipende watashinda Kwa nguvu ya Polisi.
Hata hivyo Mleta mada kuna tatizo kwa wananchi bado hawajawaelewa wale wanaolalamika kuwa wanatekwa au kuteswa au ndugu zao kupotea.
Magereza yamejaa maskini huku wahalifu dhidi ya binadam na mali za umma wakiwa wanaheshimika na kukalia ofisi za umma kwa mitutu ya Bunduki.
Ni vyema sasa watu wema wanaojua wazi kuwa hawana hatia lakini wanashitakiwa kwa uongo wakaungana kwa pamoja na kutafuta watu waaminifu sana ,wakachanga fedha kwa ajili ya kugharamikia kesi dhidi ya watawala wanaotumia vibaya madaraka yao kuumiza na kupoteza watu.
Hata mitaani unakuta kibaka mmoja anawanyima watu zaidi ya 100 usingizi na kupora watu bila aibu . Yani kibaka mmoja anatoa vitisho na watu wote wanajifungia kwenye mageti kila mmoja na mlango wake. Badala ya watu 100 wema kuungana na kumdhibiti kibaka mmoja wao ndio wanadhibituwa na kibaka kwa hofu.
Afrika tumependa hivyo ndio maana watu wastarabu wanasema achana na siasa ni mchezo mchafu. Matokeo yake waovu wenye michezo michafu wanawahonga wenye mamlaka ya kidola ili waingie kwanye siasa na wao wanakula Mali za umma kama wanavyotaka . Wanakula bata tu.
Mwaka Jana watumishi wa umma zaidi ya 43000 wakiwemo Polisi walichukua fomu za kugombea Ubunge kupitia CCM. Ni Jeshi la wananchi pekee ndio ambao hawakuchanganya siasa na Jeshi kama Katiba inavyosema. Wengine wote walikimbilia CCM na kugombea kinyume cha katiba.
Wavunja sheria ndio wanaotangulia na kuwakamata watu wema.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Na wewe ni mgambo wa keyboards siyo?Keyboard warrior's