Nitafanya KESHO

majibu ya maswali mengine ni haji ujiconvince mwenyewe ndo utaelewa

kama abstract mathematics

ukiambiwa kinyume cha 2 ni 0, usiruke
uliza ni Z module gani?

Usimung'unye maneno bana hutapata majibu
Ya maswali yako ..
 
hii ni hali ya kupenda nyama choma, bia na karanga kuliko s.e.x
na combination hii huwa na nguvu kuliko ile inayoishikilia dunia kwenye mhimili wake

Duuuhh hiyo ndo Trisexual ..

So what's your sexuality?
Are you a Female or Male?
 
majibu ya maswali mengine ni haji ujiconvince mwenyewe ndo utaelewa

kama abstract mathematics

ukiambiwa kinyume cha 2 ni 0, usiruke
uliza ni Z module gani?

Lakini haya si maswali magumu ya kuumiza kichwa ..

Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Mi sijambo.
We mzima?

Usimung'unye maneno bana hutapata majibu
Ya maswali yako ..
Mimi mzima AD, asante. Nilimumunya kwa sababu kwa sababu nilikuwa ninafikiri Kongosho ni SHE, kwa hivyo mshangao ukanifanya sijui nianzie wapi kuliuliza bila ya kumkwaza. Nashukuru kuwa uliuliza ile lilikuwa katika mawazo yangu na tayari ametupa jibu (ingawa bado kichwani mwangu haijaingia hiyo ya TRI).
 
Mi ni Tailor...Nadhani ajizi zangu sina,haja ya kukupa maelezo mengi...


Mbona nasika Tailors (na Waashi) ndio zenu hizo, kila siku ugomvi na wateja wenu?
Kama wewe huna ajizi katika kazi yako, hongera sana.

Nitasoma bible baadae naingia jf kwanza.
Mamdenyi, Mamdenyi, Mamdenyi! Hebu soma mistari miwili mitatu ya Bible kwanza ili ukiingia JF ujisikie na amani zaidi.
 
Back
Top Bottom