Procrastination is a thief of time.Time and tide wait for no man !!!!!!!!!!!
Look to this day for every tomorrow has a tomorrow !!!!!!!!!!!
Mi nlivyoona sentensi ya kwanza umeandika siyo "ku do" nimeacha kusoma sredi nzima so napita tu hapa.
MAPROSOO.
Mhhh! Labda usiweko Dar na Februari hii.Nitaoga kesho
Mwambie leo, ukisubiri kesho utajipangia kesho nyengine.Kesho namwambia...
Jaribu Mkuu, inaezekana, mara nyengine tatizo ni kulianza tu, ukishakulianza unaingiwa na hamu ya kutoliwachahadi limekamilikaLiwezekanalo leo lisingoje kesho maana hatuna hata hakika kama hiyo kesho tutafika. Asante kwa uzi wako mzuri umenikumbusha viporo vya mambo mengi niliyopanga kuyafanya kesho ila naona ngoja nianze sasa.
Mimi niko OK Mkuu, asante sana.MAMMAMIA
Nakusalimu mkuu ..
Kwa kifupi ni kwamba sina kitu ambacho nakiacha kwa kesho ..lakini mpaka Jioni ifike na nikiwa nimechoka basi kutakuwa na kiporo lakini kwa ujumla napenda kufanya leo au sasa
dah.....uvivu wa kusoma,kila siku nasema nitasoma,nitasoma kesho mpaka unakuta mtihani umeshafika
Mimi kabla ya kuanza kutumia Internet na simu sikuwa mvivu katika kuandika Postcards na barua, lakini kuingia kwa mitandao nimepungua utendaji hata huko kwenye mitandao wenyewe. Na hilo la kutembelea jamaa na marafiki, oooooh, unattended appointments zinarundikana mpaka ninajisikia tabu.We acha tu, mi nafanana na wewe Mammamia, hayo ya kwenda kumuangalia mtu zishapita wkend kibao. Jamaa wanafiwa, wanumwa, wanojifungua kila siku napanga kwenda wkend bt ikifika siendi napanga tn wkend inofuata hatimae imepita miezi. Hayo ya kujibu sms na barua ndo hata sisemi, mpk aibu
Katika kitu sina ajizi wala uvivu ni kushughulikia hizi domestic works, na mara nyingi siiti fundi ispokuwa kile ambacho siwezi kukikabili mimi, otherwise, ninarekebisha kila kitu kuanzia plumbering, electricity/electronics, masonry etc.Kuna bomba bafuni limeharibika miezi minne iliyopita,kila siku mie husema kesho
Ntamuita fundi!!Kesho imekuwa kesho
Nitaoga kesho
Yaani umenigusa 100%
mke wangu anataka kuniacha sababu kila siku naahirisha hadi kesho. . .
Yaani umenigusa 100%
mke wangu anataka kuniacha sababu kila siku naahirisha hadi kesho. . .
Habari Mkuu, mm namiss sana kile kibaraza chetu cha jioni. Andaa mjumuiko bana.
mke wangu?????????
Anyway, umenichekesha sana hata bila ya kujua unaahirisha nini.
Haijambo wewe umekuwa direct, mimi nimemumunya maneno, (kwa mshangao).
Asante sana kwa matayarisho.kesho nitaandaa
leo natengeneza kashata kwa ajili ya kesho
natengeneza na kahawa
naahirisha kinachosababisha ndoa kuwa sio ndoa tena
Trisexual.....
asante sana kwa matayarisho.
:focus:hiyo tri-sexual ndio ipi tena? Sipati picha inaungua nikiifikiria hiyo hali.
Haijambo wewe umekuwa direct, mimi nimemumunya maneno, (kwa mshangao).
So your sexually attracted to men and women.
What is Trisexual? We learn something new everyday ..
me,ke & tig...