Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Mmmh!!!!!!!!!!!
- Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
- Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
- Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
fikiria kuanzisha mradi au biashara. utaona akili inavyohamia huko na pesa unazoziona nyingi utagundua hazitoshi.Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.
Inawezekana kuna watu wengine humu mlikumbana na hali kama hii au zaidi ya hii, mlijikwamua vipi?
- Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
- Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
- Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Msaada tafadhali
Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.

jinsia sidhani kama inahusiana na hilo, by the way kwa sasa natafuta mke wa kuoa.
kwani jinsia gani ndo wanatamani magari???
Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.
Inawezekana kuna watu wengine humu mlikumbana na hali kama hii au zaidi ya hii, mlijikwamua vipi?
- Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
- Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
- Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Msaada tafadhali
binafsi katika maisha nimegundua kuwa karibu vitu vyote mwanadamu anavyotamani ni muhimu sana kulingana na muhusika mwenyewe.mfano tamaa ya gari,nyumba,mke mzuri/mume mzuri,fedha etc.kwa kuwa vyote ni vya muhimu,cha muhimu zaidi ni wewe mwenyewe kuamua kipi kianze na kipi kimalizie.nikiwa na maana kwamba kipi kati ya unavyotamani kiwe cha kwanza kushughulikiwa na kipi kiwe cha mwisho.
akili kichwani mwako
Baada ya jibu lako naomba nikujibu hivi...
Je, unao uwezo wa kununua gari kwa sasa? (Ukiweza, usinunue gari kwa mkopo).
Lakini pia, ukishalinunua, je, una extra income ya kuliendesha?
Kumbuka tumia mshahara kama mtaji wa kukutafutia pesa nyingine. Usiutegemee mshahara kama basic income yako. Especially when it comes to taking care of your liabilities.
Gari si anasa kama tulivyozoeshwa na wazazi wetu. Kwa maisha haya imekuwa a necessity kuwa nalo. Cha maana tu ni kuhakikisha unanunua gari unalolimudu, na litakalokusaidia sio kukupoteza zaidi.
Kaka hakuna shida yoyote kuusifia uumbaji wa Mungu. Yeye mwenyewe alipomaliza aliangalia akaufurahia.
Je, katika hao uliowaona, hakuna ambaye umemuwaza zaidi ya kumtamani? At your age si vibaya ukianza kuwaza kutulia na mmoja badala ya kuwaza kuwavua chupi tu.
Ulishawahi kuwa mnywaji hapo kabla (pengine kabla ya kupata hii kazi iliyokufanya uache)?
Mwisho nadhani ni muda sasa wa wewe kutafuta activites za nje ya kazi ya kukuweka busy. Yaani hata unapotoka kazini una jambo lingine exciting unaliwaza.
Kwa namna hii utauheshimu sana muda wako na kukuepusha na vishawishi vingi. Keep yourself busy. Itakuzuia pia kuingia kwenye tatizo namba 2.
Fanya mambo mengi sasa wakati una nguvu.
Read...read all manner of literature. Be an all-round person. (..and write too, if you have the talent)
Participate in social activities - za kanisa/msikiti au makundi yeyote mengine
Find a sport...
Utajikuta vishawishi vingi sana unaviepuka!
All the best mkuu...chapa kazi utuongezee sifa Watanzania!!!!!
Watu8 kijimshiko kimeongezeka kidogo na ktk tathmini aweza kulimudu gari. kuhusu wanawake at first nilikuwa nikiwaona wazuri najua spendings zingekuwa ziko juu so nikawa muoga kidogo. ata hivyo maangalizo uliyonipa yamenifaaJe unao uwezo wa kununua na kuhudumia gari?
Kama huna uwezo basi acha kutamani maana gari sio asset...
Yaani kutamani wanawake na kumaliza probation kuna mahusiano gani?
Au umeongezewa mshiko sasa fujo za matanuzi zimeanza?
Kumbuka tu siku zote kuwa ujana ni maji ya moto, wakati ukifika huwa yanapoa...
Ulevi unakunyatia...
Mjukuu wangu wewe ni mngoni usiache asili yako.
Wewe washughulikie wanawake mpaka wakupe heshima yako, pia uliona wapi mngoni hanywi pombe, kata kiu mjukuu wangu. Gari usithubutu, wangoni hawana asili ya magari halafu utatuongezea foleni mjini.
hangaika na pombe na kina mama hasa waliojichubua ndio warahisi maana wako sokoni
nakufuatilia naona hoja nyingi unalike tudadaa miss chaga mbona najibu, hoja yako niliishia ku like tu ababu nilikubaliana na wewe kwa kila kitu