Nitaepukana vipi na tamaa hizi?

Nitaepukana vipi na tamaa hizi?

baada ya jibu lako naomba nikujibu hivi...

je, unao uwezo wa kununua gari kwa sasa? (ukiweza, usinunue gari kwa mkopo).

Lakini pia, ukishalinunua, je, una extra income ya kuliendesha?

kumbuka tumia mshahara kama mtaji wa kukutafutia pesa nyingine. Usiutegemee mshahara kama basic income yako. Especially when it comes to taking care of your liabilities.

gari si anasa kama tulivyozoeshwa na wazazi wetu. Kwa maisha haya imekuwa a necessity kuwa nalo. Cha maana tu ni kuhakikisha unanunua gari unalolimudu, na litakalokusaidia sio kukupoteza zaidi.

kaka hakuna shida yoyote kuusifia uumbaji wa mungu. Yeye mwenyewe alipomaliza aliangalia akaufurahia.

Je, katika hao uliowaona, hakuna ambaye umemuwaza zaidi ya kumtamani? At your age si vibaya ukianza kuwaza kutulia na mmoja badala ya kuwaza kuwavua chupi tu.

ulishawahi kuwa mnywaji hapo kabla (pengine kabla ya kupata hii kazi iliyokufanya uache)?

Mwisho nadhani ni muda sasa wa wewe kutafuta activites za nje ya kazi ya kukuweka busy. Yaani hata unapotoka kazini una jambo lingine exciting unaliwaza.

Kwa namna hii utauheshimu sana muda wako na kukuepusha na vishawishi vingi. Keep yourself busy. Itakuzuia pia kuingia kwenye tatizo namba 2.

Fanya mambo mengi sasa wakati una nguvu.

Read...read all manner of literature. Be an all-round person. (..and write too, if you have the talent)

participate in social activities - za kanisa/msikiti au makundi yeyote mengine

find a sport...

Utajikuta vishawishi vingi sana unaviepuka!

All the best mkuu...chapa kazi utuongezee sifa watanzania!!!!!

nimeukubali sana ushauri wako ijapo mimi si ye niliyeomba ushauri.
 
Jamani haya maisha kila kitu kina umhimu wake msim discourage kwa kua ana akili timamu kama hela inaruhusu mwacheni aanze kwanza na usafiri maana huo ndo utamfikisha atakapotaka kuenda kwa manufaa ya maisha yake.
Kila kitu hapa duniani kama hujakitamani huwezi na hauna haja ya kukinunua.

Gari ni mhimu
Kugonga mademu pia ni mhimu ni sehemu ya hitaji la mwili maana yy bado hajaji commit unajua mambo ya kuoa ndo yatakayokufanya utulie lakini wengi wetu isingekua ndoa mbona mngekua mnagonga gonga ovyo tu.
Kunywa pombe si lazima sana jaribu kuachana na hilo wazo either kwa kuamua kunywa maziwa kwa ratiba yako nzuri, jamani tukubaliabne pombe huongeza vishawishi unaweza hata kutamani mke wa mtu kitu ambacho kitakuletea matatizo.

Mie gari wakati najiandaa kununua watu wa linikatisha tamaa sana eti huna nyumba unanunua gari lakini hiyo gari tena ya familia tu imenipatia nyumba kwa kuwahi dili fulani ambalo naamini isingekua gari nisingepata hiyo hela siwezi kuongea mengi sana juu ya hapo.

Wengi wetu husubili eti Uje u enjoy maisha uzeeni huwezi kuenjoy maisha wakati tayari una breakdown maana uzeeni huwezi kuingia club,kwenda swimming pool kuogelea, nguvu huna na tamaa hua kubwa sana uzeeni basi utabaki kua mtu wa story watu wanakushangaa tu.
Ndo haya unakuta kizee kinajichanganya night club nk.
STOP THAT WICKED THOUGHT FLEXING LIFE IS LIMITED CHILL WHILE YOU'RE STILL MOBILE NO HAPPINESS AT OLD AGE MOSTLY YOU WILL BE THINKING ABOUT DEATH.

umetoa mawazo yako vizuri sana mkuu ila hapo mwisho ndo umetaka kuharibu,mi sijasema asinunue gari ila nimesema katika maisha kila kitu ni cha muhimu hivyo ni akili kichwani mwake kipi akifanye cha kwanza na kipi akifanye cha mwisho.nimesema vyote ni vya muhimu ila yeye ndo aamue nini kifanyike kwanza.
 
kula bata kijana tafuta alteza kali,ipige tinted weka mziki mkali utagonga watoto wa kila aina hii miaka mitatu ya kwanza tengeneza shavu nyumba utajenga ukiwa na miaka 40 huko kula maisha we only live once
 
Nunua Gari tia tinted kari hapo utakuwa umefanikisha tamaa yako ya kwanza huku umeuoa tamaa zao 2 zisizo za lazima,ukitoka kazini kwenye gari nduki nyumbani tinted itakusaidia kutoona wanawake wala bar.
Angalau nimekusaidia

nimecheka mbaya!!
 
Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.
  • Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
  • Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
  • Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Inawezekana kuna watu wengine humu mlikumbana na hali kama hii au zaidi ya hii, mlijikwamua vipi?

Msaada tafadhali

Dear Kawoli, Ushauri wangu kwako ni kama ifuatavyo,
1. Kama you are in a position in which you can afford kununua hilo gari unalotaka, sioni kama kuna ubaya wowote. Ila kama itakubidi utafute njia mbadala ambazo pengine zitauingiza kwenye matatizo au kukuachia madeni ambao mda wake haujafika then i dont think it is right kwa wewe kununua hilo gari. If you can afford go ahead hata hivyo gari muhimu inasaidia sana mjini hapa na wala gari sio starehe kama jinsi wengi wanavyodhani.

2.Dunia hii inamambo mengi, kua na wanawake wengi sio dili au kitu kizuri kama jinsi hizo tamaa zinavokutuma. Loyalty to a single woman is way better especially now that you are thinking of getting married. Tulizana kaka yangu. Utakapojiengage na wanawake wengi usitegemee kupata mke mwema maana what you give is what you receive. Tafuta mdada anaeeleweka mtulie muanze yenu.

3.Hizi kiu jaribu sana kuepukana nazo tena kama wewe ni mkristo kemea sana hiyo tabia. BE EXTREMELY CAREFUL ukizitii hizi kiu angalia zisije kua a part of your lifestyle.Too much of everything is harmful.

Angalia haya mambo matatu yote yanayokusumbua yanafaida au hayana faida kwangu? your in it for a reason. There is a lot to be offered.Usije haribu maisha yako bure wakati mambo yako ndo yanaanza kukunyookea.

Ahsante na sorry kwa maneno mengi.
 
usjali mkuu wala hujanichosha kwa maneno maneno, they mean a lot to me. thanx
 
Matatizo unayopitia kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na maisha uliyopitia. Kwa watu waliyozaliwa na kukulia ktk umasikini mkubwa Hilo huwatokea. Mfano mzuri ni maisha ya wanasoka wa Amerika ya kusini kama Ronaldinho. Hali uliyonayo ni mithili ya "hangover" na dawa yake ni supu. Tafuta supu yenye kuweza kukuondolea hangover uliyonayo.
 
tatizo huyu Yesu anahubiriwa na watu wenye mitazamo tofauti mpka nachanganyikiwa

kawoli;
Kumbe umeshamsikia huyu Yesu Kristo Mnazareth akihubiriwa? Kwa kuwa wengi sana walikuchanganya, weye nenda mahali peke yako au unaposikia hizo kiu za ajab ajab, mwite mwambiye peke yangu siwezi noo unisaidie. Yesu habagui atakutokezea na hizo kiu zitapotea kabisa
 
tatizo huyu Yesu anahubiriwa na watu wenye mitazamo tofauti mpka nachanganyikiwa

Mtafute tu huyu Yesu kwa bidii na utamuona, tamaa za kidunia ni chukizo kwa Mungu na zitakupeleka Jehanam
 
Back
Top Bottom