TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,397
- 31,476
Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.
Msaada tafadhali
- Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
- Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
- Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Msaada tafadhali