Nitaepukana vipi na tamaa hizi?

Nitaepukana vipi na tamaa hizi?

Huu uzi umeionesha jamii forums katika ubora wake,nakushukuru mwanzisha mada na wajumbe wachangiaji wote,uzi huu umekua na mguso chanya kwangu pia.
 
macho yanakupelekesha. angalia sana yasijekukupleka usikokupenda
 
Utumbo huu

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Naamin wewe ni mtu mzima. fanya vitu vyenye manufaa. mfano badala ya kutafuta dem, oa kabisa. mke atakusaidia kuepuka anasa izo kama utampata anayejielewa. naona kama pesa inakuchanganya
 
huyu Yesu mnamtumia vibaya
Miss Chaga, kwa kumpa mizigo yako ili aibebe! sidhani kama ni vibaya kwa kuwa yeye mwenyewe ameturuhusu.
Kutoka Mathayo:
11:28 Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
11:29 Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.
11:30 Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
 
mizigo mingine hakutegemea
 
Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.
  • Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
  • Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
  • Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Inawezekana kuna watu wengine humu mlikumbana na hali kama hii au zaidi ya hii, mlijikwamua vipi?

Msaada tafadhali

Tatizo lako umetoka kwenye umasikini,ni kama vile ulikuwa Kipofu sasa ikatokea ghafla ukaanza kuona ndio kila kitu unakitaka,Be carefully bro utajipoteza mwenyewe.
 
Wakuu tangu nimalize probation miezi michache iliyopita yafuatayo yananiweka katika wakati mgumu sana.
  • Natamani sana kununua gari, yani nikiona kijana wa age yangu anadrive ndio nadata kabisa
  • Kila mwanamke namuona mzuri na najitahidi sana kuwaepuka lakini nahisi kama uzalendo utanishinda.
  • Hii ya tatu siielewi kabisa, yani kila nikipita karibu na bar nasikia kiu ya ajabu ya kunywa ugimbi japo kabla sikuwa sikuwa mnyawi wa mpaka kufikia hali hii.
Inawezekana kuna watu wengine humu mlikumbana na hali kama hii au zaidi ya hii, mlijikwamua vipi?

Msaada tafadhali
Khaa!! Kijana tuliza akili hayo ni ya kawaida kabisa hasa pale unapotoka nobody na kuwa somebody. Utazoea tu :glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom