Sina hata cha ku comment maana umeongea fact tupu. Unajua watu ambao wameingia katika dini wanakuwa blind folded hata ufanye nini hawawezi kuuona ukweli na hivyo ndivyo mafunzo ya dini nyingi yanavyowatengeneza ili wasije wakastuka. Yaani utakapojidai kutaka kujua undani tu unaambia unakufuru na ndo inakuwa full stop yako. Hahaha dini bwana!
kutumia mabomu ya kujilipua na siraha nzito nzito![emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Hebu tufafanulie kidogo ni utandawazi gani ambao Qur'an imeendana nao?
Habari wana jamvi.
1.Dini zimetoka wapi?
Dini kubwa zinazodominate Tanzanian zimeletwa na wageni. Islam imetoka Asia na Christianity imetoka Europe. Lakini unadhani kabla ya wazungu na waarabu kuja tulikua sisi waafrika hatuna imani?
2. Dini zote hazitaki kupokea mabadiliko
Vitabu vikubwa vya dini ni Qur'an na biblia. Lakini maandishi yaliyo kwenye vitabu hivi na matakatifu na hatuwezi kubadilisha kwa namna yoyote.
Kama vitabu hivi viliandika zaidi ya miaka 1000 iliyopita basi vilikuwa valid kwa watu wa kipindi hiko na si kwa kizazi hiki.
3. Dini ni mifumo mikubwa inayowanyonya ndugu zangu masikini walioamini.
Kama umefanikiwa kwenda katika vijiji vya hapa Tanzanian basi endapo utaona jenho zuri lolote lilioezekwa kwa bati na kujenga kwa tofali na kupakwa rangi vizuri ilihali majengo yote maeneo hayo ni tope na nyasi basi dhahiri jengo hilo litakuwa kanisa ama msikiti.
Mh! Sizani kama umesoma vizuri mada yangu.Kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu ni uamuzi wako binafsi.Pia kumbuka matokeo yake ni yako binafsi.Lakini hofu yangu inakuja kwamba wewe unaamini hakuna Mungu kutokana na uelewa wako wewe mwenyewe bila kupata taarifa sahihi kutoka vyanzo sahihi.Sasa wewe hujui na inatoa hitimisho hakuna Mungu kwa huko kutokujua kwako,huoni kwambo unakuwa mwongo?Suala sio kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu bali ni kukosa taarifa za kuhusu Mungu
Mungu yupo kwamba unamkubali au humkubali.Naomba nijibu tu nn chanzo cha ulimwengu na vilivyomo?Halafu kuanzia hapo utaanza kujiuliza maswali ambayo yatakufanya uyafute majibu ya maswali yako badala ya kujijibu kutokujua kwako.Swala la watu kujenga nyumba za ibada nzuri na kuwa na makazi duni hilo haliusiani na uwepo wa Mungu au kutokuwepo bali mahusiano ya watu na Mungu kwa hiyo halina mantiki kwa hali duni za watu.Kingine Mungu ni SUPREME BEING anajua yote kwa hiyo hayo mabadiliko unayoyaona ukiyachunguza wala hayana chochote cha kufanya maandiko matakatifu kwani vyote vitabadilika ila Mungu anabaki kuwa yule yule.
hujasoma vizuri, kaandika Mungu yupo but dini ndo aniziona zimezidisha machenga chenga.Umesema utaendelea kutokuwa na dini..na hiyo ndio imani yako coz unaamini hakuna Mungu na huamin dini yyote..
Sasa je,lengo lako hasa kuleta hii mada ni nni?
Kwa nni usikae kimya na imani yako...
Au huna confidence na unachokiamini sasa unataka labda tu ku prove wrong?....
Amini unachokiamin na usisumbue wengine..
nadhani anahitaji kuona ni wangapi walio upande wake ili kusudi ajiamini zaidi.....Umesema utaendelea kutokuwa na dini..na hiyo ndio imani yako coz unaamini hakuna Mungu na huamin dini yyote..
Sasa je,lengo lako hasa kuleta hii mada ni nni?
Kwa nni usikae kimya na imani yako...
Au huna confidence na unachokiamini sasa unataka labda tu ku prove wrong?....
Amini unachokiamin na usisumbue wengine..
kuongezea hapo;;;,,,,SI wazungu wala waarabu walioanzisha dini nao walizipokea TU.Kwani umeleta mada hii ili ijibiwe, upongezwe kwa kutokua muumini wa Kiisllam, au Kristo, ama kutafuta wafuasi, ama kutujuza tu ama nini hasa lengo lako. Nimekuuliza hivi kutokana ulivyomjibu mchangiaji hapo juu, amekuuliza kulikua na haja ya kuleta hapa jamvini, si ungekaa nalo tu. Wewe badala kumweleza dhumuni lako, unamwambia hajajibu hoja yako hata moja, Yeye amekubaliana na hoja zako ila anachotakujua ni kwanini utuambie sisi. Labda mimi nikuulize kulingana na moja sababu zako, hii kuwa ilileetwa na wageni. Je nguo unazotumia hazikutwa na wageni, Magari, TV, Ndege, barabara za lami niiiishie hapo kwanza.
Does it Mean God?Kabla sijafika mbali na wewe hebu soma hapa maana ya allah halafu tuanze kuelimishana na sio kukashifiana
God Allah - Does It Mean God?
Soma Dini yenyewe kabla ya kuandika mawazo yako. Kwa mfano Uislaam unakubali challenges but with fact. sasa maelezo yako hayana nukuu hata moja ! ....... hivyo ni mtu unae ropoka ropoka tuHabari wana jamvi.
Kwanza kabisa naomba niwiwe radhi kwa nitakachozungumza hapa kama nitawakwaza baadhi ya watu, ashankum si matusi.
Pili napenda niweke wazi kuwa ninaheshimu imani ya kila mtu na mimi natumaini kila mtu ataheshimu imani na msimamo wangu.
Ninapatwa wakati mgumu sana pale ninapotaka kuzungumza kuhusu dini na mungu kwani mambo haya yanatazamwa kwa mtazamo tofauti endapo mtu atathubutu kusema hakuna mungu ama hakuna dini.
Mimi naamini mungu yupo(kama sitapata shaka ya kutokuwepo)
Lakini ninaamini pasi na shaka kwamba ideology ya dini ni propaganda na si kitu sahihi kukifuata.
Labda niweke sababu chache ambazo zimenifanya nisiamini kwa dini yeyote (Islam and Christianity to bespecific)
1.Dini zimetoka wapi?
Dini kubwa zinazodominate Tanzanian zimeletwa na wageni. Islam imetoka Asia na Christianity imetoka Europe. Lakini unadhani kabla ya wazungu na waarabu kuja tulikua sisi waafrika hatuna imani? Je hizo imani zetu zimeenda wapi? Wazungu na waarabu walizipiga vita imani zetu na kuziita primitive na wao wakaleta imani zao na dini zao "civilization" Hivi unadhani kati ya imani tulizokua nazo sisi na hizo walizoleta waarabu na wazungu zipi ni "primitive"
Ninaamini kwamba dini zilikuja na wageni kwa mission zao (ukoloni na biashara) na baada ya mishen hizo kwisha wametuachia ujinga waafrika wa kukomaa na dini wakati wao wameshaacha huo upuuzi zamani. Tujaribu kuona misa za makanisa ya ulaya zinavyokosa waumini na tulinganishe mafuriko ya waumini wa makanisa na misikiti yetu afrika.
2. Dini zote hazitaki kupokea mabadiliko
Vitabu vikubwa vya dini ni Qur'an na biblia. Lakini maandishi yaliyo kwenye vitabu hivi na matakatifu na hatuwezi kubadilisha kwa namna yoyote.
Kama vitabu hivi viliandika zaidi ya miaka 1000 iliyopita basi vilikuwa valid kwa watu wa kipindi hiko na si kwa kizazi hiki ambacho kina mabadiliko makubwa katika kila nyanja ya maisha. Na sawa nabkutunza funguo yako ya gari la zamani na kulazimisha iendeshe kila gari jipya utakalonunua.
3. Dini ni mifumo mikubwa inayowanyonya ndugu zangu masikini walioamini.
Kama umefanikiwa kwenda katika vijiji vya hapa Tanzanian basi endapo utaona jenho zuri lolote lilioezekwa kwa bati na kujenga kwa tofali na kupakwa rangi vizuri ilihali majengo yote maeneo hayo ni tope na nyasi basi dhahiri jengo hilo litakuwa kanisa ama msikiti. Ni upuuzi kuona tuna makanisa manne na miskiti minane katika kijiji chetu ilihali hatuna hata zahanati. Pesa za ujenzi wa kanisa tulichanga lakni kanisa halina hata msaada mkubwa kilunganisha na dhahanati.
Sitaki kuzungumzia mashekh, maaskofu , mapadri na maimamu ambayo wanaishi maisha ya kitakatifu na anasa ilihali mimi muumini wananikwangua mpaka jasho langu la mwisho eti namtolea bwana.
Nina mengi ya kuzungumza na ninaahidi nitatoa sababu nyingine tele zinzofanya nisiwe na dini pundi nitakapopata wasaa.
Nawasilisha
Mtume wa wavuta Bangi (Rastafarii)Haille alimaliza kila kitu hapa.
NB: Huwezi kusema moja kwa moja dini yako n ndo sahh kulko nyingne kama hujasoma ya mwenzako. Kama MTU unataka kuwa ktk imani iliyo sahh isome kwanza dini yako then soma na dini za wengine kisha acha ukweli ufanye kazi.
Nawasilisha
Dini haiharibu dunia hata kidogo mkuu...dhamira mbaya ya mtu ndio inayomfanya yeye kutenda uovu..Alichosema mleta mada ni ukweli mtupu usio na hata chembe ya kejeli ,kwani ni nani anabisha kuwa haya madini ndiyo yanaharibu dunia kwa sasa,vita zimesambaa kila mahali,kisa imani.Ni bora kuishi kama wachina ambao wengi wao dini yako ni wewe na nafsi yako.
Dini haiharibu dunia hata kidogo mkuu...dhamira mbaya ya mtu ndio inayomfanya yeye kutenda uovu..
Adolf Hitler alikuwa haamini katika dini yyte ile na alichonja na kuuwa watu wengi sana..
Benito Musolin pia alichinja wakatoliko kule italia kwa sabab yeye alikuwa haamin katima dini yyte..je hao nao waliongozwa na dini gani kuuwa watu wengi kiasi hicho?..
Embu tujarib kufikir kwa mtazamo mpana tusijibu vitu kwa kukariri bila kuangalia ukweli umesimama wapi