Nitaendelea kutokuwa na dini

Hatuwezi kua sawa anyway.... Lakini mimi sijakuelewa unahitaji nini hapo, unataka uelimishe kuhusu dini au unataka tukufuate wewe na imani yako
 
Inshallah
Mpendwa kulitamka neno hilo tu !! basi ushakuwa mamluki wa Mwenyeezzi Mungu !!
"Na dini kwa mwenyeezzi Mungu ni Islam"

Sasa hata kama utekelezi yaliyomo !! wewe umeshakiri "in~Sha~Allah" maana atakavyo Allah !!

Mkuu karibu tukusaidie kuelewa uwepo wa dini ya haqi !! (ambayo ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo)

Respect to other faiths !!
 
imani ya kutotambua wala kuamini uwepo wa Mungu ni imani kama zilivyo imani nyingine ila zinatofautiana tu utekelezaji.
 


Kwani nini maana ya allah
 


Christianity. The Aramaic word for "God" in the language of Assyrian Christians is ʼĔlāhā, or Alaha. Arabic-speakers of all Abrahamic faiths, including Christians and Jews, use the word "Allah" to mean "God".
 
Kwani nini maana ya allah
Daud tafadhali twende kwa heshima, tutakapoishia still turidhiane (matusi kapuni) !!

ALLAH ni general names la (MwenyeEzzi Mungu ambayo ya sifa 99)

karibuni mikono nimewafungulia.....
 
FYI*, hata siku moja haitowezekana wala haitokuwa god kuilinganisha na ALLAH !!!!!
god ni neno la kufika na kujika kimungu mungu !! kwani umungu siyo Allah !!
 
Upo sahihi.Dini sasa hivi ni biashara kubwa kuliko zote.Angalia maaskofu wa makanisa mengi makubwa ni mabilionea wa kutupwa!
 
Hutaki ya wazungu nenda misitu ya Amazon, Ethiopia kuna kabila linaitwa mursi, au Papua guinea, au India kwa kumbh mela utaona uzuri wa Dini.
 
KIBAYA AU KIZURI ZAIDI HUO UTAFITI ULIOELEZEA UMETUNGWA NA WAZUNGU"""Umekariri"
 
Hyo ina maana ya kwamba ili ujitambue kama UMEJAMBA ni lazima utaskia saut au utahisi harufu kinyume na hapo HUJAJAMBA....Angekua mzungu angetaka sifa na kuipa jina la KUJAMBA LAW........Hiyo ni njia ya kujigundua kama umejamba kwa yule atakae kua na mashaka kwamba amejamba au hajajamba SIO KWA KILA MTU, kinyume na hapo ni sheitwan anakuchezea ili uharibu sala yako coz huwez kusali hali ya kua UMEJAMBA ni lazima ukatie udhu ndo usali tena.
 
KIBAYA AU KIZURI ZAIDI HUO UTAFITI ULIOELEZEA UMETUNGWA NA WAZUNGU"""Umekariri"
Wewe ndo umekariri kwamba kila tafiti inatungwa na wazungu. Hya ni mawazo yangu tu na wala sikurejea utafiti wwte.
 
Sasa hapo umemaanisha nini na uhusiano wa mada ya jamaa.
 
we muache tu ndugu zake wanamsikilizia tu, akifa utawaona nduguze wanavyohangaika kwa mashekhe/maaskofu ili azikwe kidini huyo, dini ni raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…