Nitaendelea kuongoza CHADEMA wanachama wakiamua - Mbowe

hivi si kunatakiwa kufanyike uchaguzi au mbowe anajuaje kama wanachama wanamhitaji au la?
 
Kwahiyo unataka tuongozwe kidikteta kama mbowe anavyoiongoza chadema kuwa mtu yoyote akihoji anapigwa tofari akijibu anafukuzwa ndani ya chama?

nyie si mlikuwa mnataka zitto ili hoja zenu zitimie sasa mmefulia mmpeni uenyekiti ccm si mnampenda sana!vilaza wa mwisho nyie na mbinu zenu za kijinga eti mnawaandalia wajumbe mil5
 
Kwahiyo unataka tuongozwe kidikteta kama mbowe anavyoiongoza chadema kuwa mtu yoyote akihoji anapigwa tofari akijibu anafukuzwa ndani ya chama?

Kwa usalama wa chama ni bora CHADEMA na wtz wanaoitakia mema nchi ni bora wakaongozwa na kiongozi ambae magamba wanamuona kuwa ni dikteta ambae magamba wanashindwa kumuingia.Ili mafisadi wa CCM waendelee kunemeka ni bora waendelee kuongozwa na Zitto ambae wanamuona kama lulu yao.
 
Huo ndo ukweli na si vinginevyo!! Big up kamanda Mbowe

wanachadema 2jiulze kwa nn uchaguz wa cdm ccm wanautolea mimacho? mbona cuf, nccr, nld, chausta, jahazi asilia, udp havijafanya uchaguzi mpaka kesho na maccm hayaulzi wala kuhoji? kunani chadema?
 
Hana tofauti na idd amin, mugabe, museveni, gadafi, na madikteta wengine uwajuao

mimi nachoamin cku zote madicteta huwa wanania nzur na nchi zao. mfano mzuri ukienda Germany watu weng wanamkubali Hitler japo hawatak ijulikane kimataifa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema endapo kama wanachama wataendelea kumhitaji.

Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama chake amesema kamwe chama chake hakizuii watu kutamani uenyekiti lakini akatahadharisha zitumike njia za kidemokrasia na uwazi.Amesema katu Chadema hakitaruhusu watu kutumia njia za kihuni kinyume na Katiba.

Mwenyekiti huyo ambaye ni mhimili mkuu kwa chama chake ameshangaa watu kukimbilia madaraka kwa njia ovu na za kihuni.Amesema kuongoza upinzani si lelemama na wala si wa kukimbiliwa.Amesema kuongoza upinzani ni kukubali kufungwa,kupigwa mabomu na kuzushiwa kila kashfa kila uchao.

Kiongozi huyo amesema kwamba kamwe hawatakubali Chadema kusambaratishwa kwa njia yoyote.

Kuhusu Ukomo wa uongozi amesema Katiba ya Chadema haina kipengele hicho kwa ngazi yoyote na kama mtu anafaa wanachama wataendelea kumchagua bila kujali muda atakaokuwa ametumikia chama.

Source:Nipashe Jumamosi.
Ushawishi gani aliokuwanao mbowe? Eti Leo ndio anongea kwamba Chama chake hakimzuii mtu kugombea, huku akacheua kwamba Tishio limeondoka
 
Si angesema tu wanaparokia wakimchagua au kumpitisha ataendelea?
 
Mimi sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote ila nilijiunga na CDM kutokana na uongozi uliotukuka wa mbowe na Slaa, mi nasema ni Mfipa ila atakayethubutu kupambana na hao viongozi wangu ninaowaheshimu sana ajue ametangaza mgogoro na mimi na siwezi kumwacha akatamba mbele yangu kwa namna yoyote na iwavyo vyovyote vile. Tunataka watu wenye haiba(Mbowe, Slaa, Lisu, mnyika nk) sio wahuni fulani walotimuliwa CC
 
Ushawishi gani aliokuwanao mbowe? Eti Leo ndio anongea kwamba Chama chake hakimzuii mtu kugombea, huku akacheua kwamba Tishio limeondoka

Kupakatwa apakatwe mwingine mahaba utoe ww, hivi ni ccm mnamatatizo gan shughulikieni kwanza kesi ya kerpuyer
 
hivi si kunatakiwa kufanyike uchaguzi au mbowe anajuaje kama wanachama wanamhitaji au la?

Amesema kama wanachama watataka, ndibalema acha na ww mawenge, ndio maana ulitimuliwa chuo kwa mawenge mdogo wangu, vp umeshafunga ndoa
 
Back
Top Bottom