Nitaendelea kuongoza CHADEMA wanachama wakiamua - Mbowe

Nitaendelea kuongoza CHADEMA wanachama wakiamua - Mbowe

A political party owned by people like mtei,or by a trible,can not and will not protect its citizens once it comes into power,and it can not protect the country and the goverment properly,

we tanzanians are smarter than that,we can not make such a huge mistake,we are lucky that zitto has revealed that to most of us...
 
Ikiwa ni kweli kayanena haya, Basi naamini chadema ni mradi wa wajanja, Najua atapita kwa nguvu ya pesa lakini mtu asiyehitaji fikra mbadala hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, Namsihi Mbowe asigombee halafu aone Wanachama watakavyojitokeza kugombea hiyo nafasi na siyo kusema eti kuongoza chama cha upinzani siyo lelemama nani kasema, na yeye amewezaje? Tafakari Chukua hatua.

pink sio rangi ya kiume, and so are your comments.
 
Bora uwe masikini wa mali kuliko akili na fikra ni umasikini mbaya sana lkn kwa sasa muda wenu mchache uliobaki R.I.P CDM :A S-confused1:

Kama ilivyo Avatar yako umande uliukimbia, hii inakukosesha sifa ya kuwa na akili na fikra.
 
Kaza uzi mkuu,nyepesi nyepesi zilizopo u uzao wa Kambarage na misimamo yake pia huyumbishwi!
 
Na aendeleee tu maana kama ikifika wakati ataondoka tu maana kama kula atakuwa kafaidi na kaboresha maisha yake na waliokaribu naye na ndo watakao mkumbuka zaidi kuliko wengine wote!
 
Aksante sana Mkuu, hivi kumbe huyu ZZK ni mchafu kiasi hicho.....Ipo siku watalipa na maccm yao

Hata mie sikufikiria kuwa anaweza kufikia kiwango hicho cha ufedhuli. Haya mdogo wangu ZZK mwaka 2016 kunakesi zitafufuliwa upya na wewe usije jikuta umo ndani yake.
 
Unajuwa maana ya upinzani? kama chadema ni chama pinzani kinampinga nani?

Wachagga mpaka mnapokosa cha kupinga kutoka chama tawala mnaanza kupingana wenyewe kwa wenyewe. Kweli mbege na viroba ni hatari.

صباح الورد فيزة
 
Ccm tunaijua kwa mapungufu yake. Ila wana ukomo wa madaraka na wanafuata katiba. Na wapo madarakani

Vipi chadema wasio na ukomo wa uongozi na wanabadilisha katiba kihuni?

Wakipewa nchi si wata tengeneza usalama wao ambaye kila anayewakosoa ananyamazishwa au kuwekwa detention?

Cdm mmeanza kuonyesha true colours zenu mapema sana.

Mmefanya maamuzi magumu yasiyo makini. Ukanda na udini utawafuata siku zote za maishe yenu na sisi tutabakia madarakani milele.
 
A political party owned by people like mtei,or by a trible,can not and will not protect its citizens once it comes into power,and it can not protect the country and the goverment properly,

we tanzanians are smarter than that,we can not make such a huge mistake,we are lucky that zitto has revealed that to most of us...

Like wise, double minded, priced, corruptive, inpatient, big mouthed, self centered politicians do not fit to lead changes in the World.
 
mbowe huu ndio wakati hasa tunaokuhitaji zaidi kukivusha chama kwenye mto uliojaa mamba wanaokimezea chama mate!!


Daima MUNGU yupo nasi,..
Viva CDM
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema endapo kama wanachama wataendelea kumhitaji.

Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama chake amesema kamwe chama chake hakizuii watu kutamani uenyekiti lakini akatahadharisha zitumike njia za kidemokrasia na uwazi.Amesema katu Chadema hakitaruhusu watu kutumia njia za kihuni kinyume na Katiba.

Mwenyekiti huyo ambaye ni mhimili mkuu kwa chama chake ameshangaa watu kukimbilia madaraka kwa njia ovu na za kihuni.Amesema kuongoza upinzani si lelemama na wala si wa kukimbiliwa.Amesema kuongoza upinzani ni kukubali kufungwa,kupigwa mabomu na kuzushiwa kila kashfa kila uchao.

Kiongozi huyo amesema kwamba kamwe hawatakubali Chadema kusambaratishwa kwa njia yoyote.

Kuhusu Ukomo wa uongozi amesema Katiba ya Chadema haina kipengele hicho kwa ngazi yoyote na kama mtu anafaa wanachama wataendelea kumchagua bila kujali muda atakaokuwa ametumikia chama.

Source:Nipashe Jumamosi.

Agenda ya kubadilisha uongozi wa juu ni ya maadui wa CDM ili waingie watu dhaifu wanaonunulika kirahisi, ili watumike kuimaliza CDM; wamegundua Mbowe na Dr Slaa ni visiki vya mpingo kwa hiyo wanapitisha agenda hiyo kwa Muha wetu ZZK; sasa wamekwama; hatoki mtu!demokrasia wanayosema ni tafsiri yao, sio lazima kufuata kila kitu katika vitabu vya nadharia; muhimu zaidi meli ikipigwa na mawimbi ikielekea ufukweni sio wakati mzuri kwa nahodha kubwaga manyanga! Stay put Mbowe, tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu; haya ni mapito tu na ndivyo maisha yalivyo
 
Sasa kama hakuna ukomo wa uongozi WANA HAJA GANI YA KUHUBIRI DEMOKRASIA??

MTEINISIMS AT ITS BEST LEVEL...!!
Ukomo wa uongozi ktk nini?
Unaelewa tofauti kati ya taasisi/chama cha siasa na serikali?
Niambie ukomo wa ubunge ni miaka mingapi? Niambie CCM wana ukomo wa uongozi ktk cheo/nafasi gani? Niambie CUF, UDP, TLP nk ukomo wao uko wapi?

Je demokrasia ni uongozi tu? Be siriaz man. What happened to you dude?
 
Unampaje mtu kura yako wakati hakuna uchaguzi?
Usipotoshe. Uchaguzi upo na unaendelea ktk kada nyingine kisha mwishoni Taifa.

Yule mtumishi wenu mwaminifu analijua hilo, hakuwaambia? Wasiwasi wake ni kuwa hangeweza kupambana na Kamanda wa Anga ndio maana wakatngeneza santuri ya ukomo wa uongozi. Alijua na anajua vema kuwa uchaguzi upo
 
Back
Top Bottom