mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 731
hana tofauti na idd amin, mugabe, museveni, gadafi, na madikteta wengine uwajuao
jifikirie upya, udikteta kwa kufuata matakwa ya walio wengi ndani ya chama?
hana tofauti na idd amin, mugabe, museveni, gadafi, na madikteta wengine uwajuao
Kwahiyo unataka tuongozwe kidikteta kama mbowe anavyoiongoza chadema kuwa mtu yoyote akihoji anapigwa tofari akijibu anafukuzwa ndani ya chama?Kufanya kosa siyo kosa kurudia kosa ndiyo kosa.Tusirudie kuwapa tena nchi CCM hawana demokrasia kabisa huu mufumo wa vyama vingi waliukubali kwa shingo upande baada ya kulazimishwa.Mpango wao uliyopo ni kutaka kuturudisha kwenye mufumo ule wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM ili waendelee kudumisha utawala wao wa kifamilia.Kila chama kinachoonekana kutishia masilahi ya CCM na familia zao ni lazima wakiwekee mizengwe mbalimbali ili wakiue.Nccr Mrema ilipoonekana kuwa tishio kwao waliivuruga Cuf ikawa tishio kwao wameidhofisha Chadema imeonekana kuwa ndiyo chama pekee ambacho kinaweza kumuletea maisha bora mtz lakini kwa vile CCM hawana nia njema na wtz wamepandikiza mapandikizi yao wanataka kuiua CHADEMA na watz kwa ujumla wao hatudanganyiki kama ni mapandikizi yenu tumepa yachukueni yakawasaidie mukayaanzishie maduka na kuyapa kazi kwenye CCM.
Ni kweli mkuu hao ni viongozi wa milele chadema hata hivyo chadema ni mali yao akina mbowe na slaa ni chama cha nyumbani mwingine ambaye siyo wa nyumbani hakuna kupewa uongozi kwanza hatuwajui mbowe na slaa malizieni maisha yenu chadema hakuna mwingine msikubali atayeleta za kuletwa pigeni tu matofari siyapo bana hakuna kuchezewa na mtu....tunasema hatutaki uchaguzi CHADEMA- MBOWE, DR SLAA Tosha! Zito akagombee uwenyekiti CCM kama anadhani wanampenda?
Kajinyonge kama inakuuma! Wanachama ambao ndio wenye chama tunajua nani anatufaa!
Mbowe aligombea na nani wakati anachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kadima?KIKWETE APITA BILA KUPINGWA CHAMWINO,ndo demokrasi hiyo ktk magamba,fuata yenu.
Da! Hili kali kweli mkuu wamewasha moto ambao hawatauzima kamwe lazima uwashe hadi nyumba zao.Ila Mbowe ni mkaksi.. Nasikia Dr slaa anamuogopa sana.
Imekuuna sana......Najua unafahamu kuwa Wanachama wote tunamtaka Mbowe....
Mbowe mbona anaongea manyago tu kwani nani kamwambia kuwa hakuna mwingine anayeweza kufanya hayo anayodai aondoke zake na tamaa yake ya madaraka.
Kama vile familia za Karume,Mwinyi,Kawawa,Makamba,Kikwete,Malecela,Malima,Nnauye zinavyomiliki ccmHana tofauti na idd amin, mugabe, museveni, gadafi, na madikteta wengine uwajuao
Vip prof. lipumba mkuu.Nilishasema hapa mkanitukana na maneno yenu ya kejeli!Mbowe hafai kuwa kiongozi hata wa kijiji bali mhamasishaji wa muziki!Haya sasa kazi kwenu Mugabe Huyoo ndani ya bongo
hata hvyo hatukutambui kama mwanachadema. Mxcuuuuu!nimejitoa cdm rasmi leo kwa kuchoma kadi niliyochukua moshono arusha mwezi may mwaka jana,rip cdm nilikupenda ila udini ukabila na ukanda umekupenda zaid
Da! Hili kali kweli mkuu wamewasha moto ambao hawatauzima kamwe lazima uwashe hadi nyumba zao.
View attachment 122995View attachment 122995Wanaotoa Zawadi hizi wakiamua nani awe mimi ni nani hata niweze kuwapangia ?