Ni kweli dada ni bola hubaki peke yako hakili hitulie tuli...
Hakili yako hikitulia,jitahidi kuwa na huhandishi mzuri. Tuhandikie kwa kiswaili
Hakuna utafiti. Naona watu hapa kama vile wanafanya mzaha fulani ambao siuelewi.Siku hizi hakuna kifimbo cheza??
Wadau wameamua kufanya mzaha wa herufi 'h' na 'a'Kwani watu mna shida gani ya uandishi wa "hakili" badala ya "akili"..."hitulie" badala ya "itulie" hii "H" inatokea wapi??? Utakuta jitu linaandika "hupo" badala ya "upo"...naona kiswahili kinaharibiwa kwa makusudi, mwandishi wa uzi huu akiwemo pia.
Punnzika kwanza adi hakili hitulie mama!
Hata Hukae Peke hako huo sio huluhisho
Huu mzaha wote wa herufi 'h' na 'a' chanzo chake nini?bola amekuhacha maana naona hata hakili yako hahijielewi kaa utulihe kwanza uangalihe ni wapi unakoseha.......tuliza hakili mama
Huu mzaha wote wa herufi 'h' na 'a' chanzo chake nini?
hata ww ni jibu tosha kuwa unakuwa online maana unakuwa interested na jibu la The BossThe Boss, ivi mkuu muda wote unakuwa online? Maana kila uzi ukipostiwa unakuwa wa kwanza kuchangia, hiyo tisa kumi ni comment yako ni moja tu.
Wadau,nilileta habari kuhusu Mume wangu kunisaliti. Amesema hanitaki, bora nibaki hadi akili itulie, wanaume hawafai.
Wadau,nilileta habari kuhusu Mume wangu kunisaliti. Amesema hanitaki, bora nibaki hadi akili itulie, wanaume hawafai.
Ni kweli dada ni bola hubaki peke yako hakili hitulie tuli...
Hunatakiwa huhendelehe kubakiha peke yako hadi hakili yako hitulihe ndiho hutafute mwingine.
Kweli huyo bwana siho mzuri mahana hamekuvuruga hadi kichwani,nakushahuri humuhache hahu humuroge.
Faiza tafadhali sana, kumbe unaishi Giningi? DuhHiyo ni lugha ya kichawi, inatumika giningi.
....mbona ulisema hawala yako,au umesahau....Wadau,nilileta habari kuhusu Mume wangu kunisaliti. Amesema hanitaki, bora nibaki hadi akili itulie, wanaume hawafai.
Faiza tafadhali sana, kumbe unaishi Giningi? Duh
hahahhaaha kubali bhana yaishe, kha!Hapana, nimeandika kwa lugha ya mleta mada, usome huu uzi vizuri labda utaelewa. Umedandia gari nje ya stendi.
Fanya yako, ***** ***** mchokowe pweza......
binadamu hutamueza (nimefanya finishing)
Hahahaha ushakua fundi nyumba weye eti, mbona naona finishingi agaah(joking)
ahahahahahaha nimecheka sana na huu uzi yaani hadi machozi hapa