suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Hahaahahahah humecheka na huu huzi hapa, Bi
sana nimecheka adi nimelia
Hahaahahahah humecheka na huu huzi hapa, Bi
binadamu hutamueza (nimefanya finishing)
Wadau,nilileta habari kuhusu Mume wangu kunisaliti. Amesema hanitaki, bora nibaki hadi akili itulie, wanaume hawafai.
Kwani watu mna shida gani ya uandishi wa "hakili" badala ya "akili"..."hitulie" badala ya "itulie" hii "H" inatokea wapi??? Utakuta jitu linaandika "hupo" badala ya "upo"...naona kiswahili kinaharibiwa kwa makusudi, mwandishi wa uzi huu akiwemo pia.
Very interesting maana hiyo lugha sijui ni mkongo?
Tatizo wewe ni mchawi, hata kukufata pm naogopa!!
Tusihobaha tika kisomo tunatabu sana. Siku mmeanza kuhona ilimu Ndio mapenzi? Kisomo kina ingiaje mapenvzi?apenzi ayachaguhi ilimu.chawi ni la Uko.
Hiyo user name ndio imemfukuza mme wako. Nawe mwanamke upo comfortable na hiyo username kama sio uchawi wenyewe ni nini.
Hili jukwaha ni hugonjwa wa moyo. Msinihite uku hasubuhi hasubuhi.
Kwani wewe ni kabila gani? Na ilijuwaje hilo likawa ndio jina lenu?Samani ili jinu Ni mi langu. Mchawi ni jina la uko wetu.
nAwashukyklu mlio nititia maana nimipata huhujumbe wa kunitia sana miyo. Kweli nafalijika mi sana. arafu samani mi sijasoma sana kisomo ila nilisoma cho madrasa ila mapenzi achagui ilimu ya mtu kila mtu tu.