SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Ni kweli dada ni bola hubaki peke yako hakili hitulie tuli...
Hakili yako hikitulia,jitahidi kuwa na huhandishi mzuri. Tuhandikie kwa kiswaili
Hakuna utafiti. Naona watu hapa kama vile wanafanya mzaha fulani ambao siuelewi.Siku hizi hakuna kifimbo cheza??
Wadau wameamua kufanya mzaha wa herufi 'h' na 'a'Kwani watu mna shida gani ya uandishi wa "hakili" badala ya "akili"..."hitulie" badala ya "itulie" hii "H" inatokea wapi??? Utakuta jitu linaandika "hupo" badala ya "upo"...naona kiswahili kinaharibiwa kwa makusudi, mwandishi wa uzi huu akiwemo pia.
Punnzika kwanza adi hakili hitulie mama!
Hata Hukae Peke hako huo sio huluhisho
Huu mzaha wote wa herufi 'h' na 'a' chanzo chake nini?bola amekuhacha maana naona hata hakili yako hahijielewi kaa utulihe kwanza uangalihe ni wapi unakoseha.......tuliza hakili mama
Last edited by a moderator: