Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,627
- 28,778
Tusihobaha tika kisomo tunatabu sana. Siku mmeanza kuhona ilimu Ndio mapenzi? Kisomo kina ingiaje mapenvzi?apenzi ayachaguhi ilimu.chawi ni la Uko.
Unalilia mapenzi hata kuandika hujui. Mwanaume gani anataka kuweka kanjanja ndani asiejua kusoma wala kuandika. Hebu kajifunze kuandika kwanza. Sijui hata JF uliingiaje!
Inabidi JF ianze kuweka kigezo cha mtu kuandika walau imla kabla hajajiunga ili kupunguza watu kama wewe jukwaani.