Nitabaki peke yangu hadi akili itulie

Nitabaki peke yangu hadi akili itulie

kwanza kabisa mimi sio mdahu... pili sijaelewa unataka hushauri au hunatupa tahalifa tatu na mwisho ID yako himenifanya nikose hamani.. ni hayo tu da mchawi
 
Duu haya Dada [MENTION=130289][/MENTION]mwajuma mchawi
 
Na wewe tafuta mnyonge umchukulie, jino kwa jino. Kupunguza machungu.
 
Kweli kabisa ni bora hubaki peke yako hakili itulihe tuli halafu ujifunze kiswahili hili hakili ikitulia hujue kuandika vizuri sawaaa nyambaffff
 
Kwani watu mna shida gani ya uandishi wa "hakili" badala ya "akili"..."hitulie" badala ya "itulie" hii "H" inatokea wapi??? Utakuta jitu linaandika "hupo" badala ya "upo"...naona kiswahili kinaharibiwa kwa makusudi, mwandishi wa uzi huu akiwemo pia.

walikimbia shule my friend
 
Kweli hakili haijatuliha baki peke hako kwanza hadi hakili ikituliha!Na hakili ikishaa tuliha nipm nikupe lihamu!
 
aisee dada ww umetokea mkoa gani?? ala kiswahili cha wapi hiki?? kabila gani huyu>??


jf najifunza mengi kweli kweli
 
Usikonde dadangu, wala usigombanie mwanaume, na usikae peke yako!

Humu tupo wanaume wengi tu, na wengne tumetuma maombi ya wazi kwenu wanawake ili kuziba nafasi zilizo wazi. Xo,

JICHAGULIE MMOJA HUMU NA U--PM-- ILI UJIFARIJI, NA MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWA.
 
kwanza kabisa mimi sio mdahu... pili sijaelewa unataka hushauri au hunatupa tahalifa tatu na mwisho ID yako himenifanya nikose hamani.. ni hayo tu da mchawi

HAhahah! vanHEIST umenichekesha mno yaani dada mwajei ana mawazo mpaka kiswahili kinapotea stress mbaya. afu kwann ajiite mchawi sio jina zuri sijui aliwaza nin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom