Nisome diploma ipi kwa ufaulu huu

Nisome diploma ipi kwa ufaulu huu

Pesa ni ya kawaida ya kula tu unafanya kazi katika Pressure na wakati mwingine mazingira magumu kidogo ukiwa Tamisemi ndio balaa una maboss hadi Diwani wa viti maalum ambae hata kusoma vizuri ni chenga allowances unaweza kaa miezi 7 unakuja kupata overtime 120k wakat uliomba 6, zinalipwa 2 unaambiwa Halmashauri haina hela!!

Hiyo Clinical medicine ndio balaa sasa kwanza wapo wengii hakuna mkoa hauna chuo kinatoa hii Programmes mbaya zaidi hawa ndio wadau wakuu wa Tamisemi ndio wanaajiriwa kwa 99% huwezi mpeleka Co wizara ya Afya huko RRH akafanye nini!!
Je hii DDR
 
Je hii DDR
Ni kozi tamu sana ila upate chuo kizuri Hasa MuHAS,CUHAS na Benjamin hapa utaiva ukiwa mjanja mjanja sana ubaweza anza kamata pesa ndogo ndogo ukiwa mwaka wa 3 chuo

Shida ya Hii kozi na kozi karibia zote za afya ukiondoa CO na Nursing kusikia ajira zake ni kwa mbinde sana na zikitangazwa zikiwa nyingi sana ni 80!!

Mbaya zaidi ukienda Hospitali nyingi hazina watu au kama wapo ni wawili au mmoja tu
 
Somea chochote bob, just keep in mind unakuja kutatua changamoto za watu na ndio zitakazokulipa. You can take anything you want ila angalia soko la nchini yetu limelala wapi? my recommendation kwa hapa nchini ingia kwenye masuala ya Afya, Kilimo, Technology, Transportation, Energy(Natural Gas), Agribusiness. Angalia unachosomea kinaweza impact vipi sekta kama izo na how valuable can you become by solving out problems via education.

Again, pick anything based on our problems hapa nchini especially vitu vilivyopo kwenye Dira. Fursa ndio matatizo yetu tunayoyaona.

Cc. Seran madam nimekumis njoo usaidie huku.
 
Kweli mkuu nimecheki yaani ajira zake ni chache mno labda kwa baadae huko itabamba tu
 
Ni kozi tamu sana ila upate chuo kizuri Hasa MuHAS,CUHAS na Benjamin hapa utaiva ukiwa mjanja mjanja sana ubaweza anza kamata pesa ndogo ndogo ukiwa mwaka wa 3 chuo

Shida ya Hii kozi na kozi karibia zote za afya ukiondoa CO na Nursing kusikia ajira zake ni kwa mbinde sana na zikitangazwa zikiwa nyingi sana ni 80!!

Mbaya zaidi ukienda Hospitali nyingi hazina watu au kama wapo ni wawili au mmoja tu
Cancer mzee baba hayo ma radiation kujiexpose kila siku life linakuwa too short
 
Mionzi mingi ya Sasa Haina madhara makubwa kama hapo nyuma pia sehemu ambayo wataalamu hukaa kumejengwa na concrete kwahiyo ni ngumu sana kwa radiation kupenetrate unaweza kufanya utafiti wa asilimia ya watu ambao wapo affected na miozi kama X-ray kwa miaka ya Sasa. I think ni wachache mno, kwhy kijana kam umejitoa soma but risk za cancer ni ndogo sana kwa ma-radiologist.
 
Acha kupoteza muda nenda ufundi. Piga na lugha kadhaa za kigeni.
Utanishukuru baadae
 
Cancer mzee baba hayo ma radiation kujiexpose kila siku life linakuwa too short
Nowdays hizi Machine ni za kisasa zaidi hakuna shida mzee

KWanza DDR Mavipimo makubwa sijui CT scan sijuo MRI kwa elimu yako hiyo sijui hata kama utaruhusiwa kutafsri

Wewe utakuwa unahangaika na USS+X Ray na kuset ECG huko
 
Sindano ya usingizi ndio kozi gani?
Anesthesia, kimsingi ni Mtaalam wa Usingizi mara nyingi hufanyika wakati wa Operation au Sedation kwa ajili ya matibabu zaidi sio Sindano tu kama alivorahisisha jirani.
 
Nowdays hizi Machine ni za kisasa zaidi hakuna shida mzee

KWanza DDR Mavipimo makubwa sijui CT scan sijuo MRI kwa elimu yako hiyo sijui hata kama utaruhusiwa kutafsri

Wewe utakuwa unahangaika na USS+X Ray na kuset ECG huko
Issue sio kuruhusiwa, issue ni mgawanyo wa majukumu na u-specialist.
Radiographer anafanya vipimo Modality zote ila Interpretation hasa za CT na MRI yaani Diagnosisi anafanya Radiologist.
Huo ni utaratibu wa kawaida wala sio ukubwa wa mtambo.
 
Hivi waungwana huko duniani mkiangalia soko la Optometry (Macho/miwani) na Radiography(Mionzi) ipi inakimbiza sana, namaanisha uhitaji wa wataalamu ukilinganishwa na idadi inayozalishwa vyuoni.
Vyuo vya Radiography vimekua vingi hasa kiasi nashindwa kuelewa na uhitaji nao unaongezeka kwa kasi hiyo hiyo au unecease.
Kuhusu Optometry bado vyuo ni fixed japo vimeongezeka kama vitatu tu, swali langu ni vipi uhitaji wa hawa watu wa macho/miwani upo mkubwa na wa kutegemeka au nao ni fixed?

Nauliza kwa Sababu hii nchi inatabia ya kutrendisha vitu kwa mkumbo afu badae wanawatelekeza wahitimu mitaani wakishapata idadi wanayoitaka.
 
Form four division 1 ya 17
Physics C
Chemistry B
Biology A
Mathematics C
Geography B
Nimesoma political science ila uchawa nimekataa
Izo diploma za afya weka humu 🗑️. Mshahara wake ni mdogo na garama za maisha zinapanda kila kukicha. Wahitimu nao kama utitiri.

Wanaonufaika na hizi diploma ni wamiliki collages na si wahitimu, diploma ya afya haikutengenezei future.

Mshahara wa laki saba kwa mwezi.
 
Hivi waungwana huko duniani mkiangalia soko la Optometry (Macho/miwani) na Radiography(Mionzi) ipi inakimbiza sana, namaanisha uhitaji wa wataalamu ukilinganishwa na idadi inayozalishwa vyuoni.
Vyuo vya Radiography vimekua vingi hasa kiasi nashindwa kuelewa na uhitaji nao unaongezeka kwa kasi hiyo hiyo au unecease.
Kuhusu Optometry bado vyuo ni fixed japo vimeongezeka kama vitatu tu, swali langu ni vipi uhitaji wa hawa watu wa macho/miwani upo mkubwa na wa kutegemeka au nao ni fixed?

Nauliza kwa Sababu hii nchi inatabia ya kutrendisha vitu kwa mkumbo afu badae wanawatelekeza wahitimu mitaani wakishapata idadi wanayoitaka.
Nchi haina Dira hii.. Mipango haiwekwi kutokana na tafiti. Elimu imegeuzwa biashara.

Naona kuna umuhimu wa kudhibiti hivi vicollages. Kuwe na muongozo na idadi ya kuchukua wanafunzi kwa kozi ziwe limited kulingana na uhalisia/mahitaji.
 
Tatizo ni hao wanaopaswa kufanya hivyo ndio Wamiliki/ubia wa hivyo vyuo sasa.

Naiona Radiography ikifa mapema kabisa, Sijui kuhusu Optometry, Ila Dental tayar ishaanza kugonjeka maana kuna watu wameajiliwa vituo havina vifaa.
 
Ata hizo collage tu hazina vifaa mkuu. Vigezo havizingatiwi kwenye kutoa vibali.

Kiufupi Elimu haina standards kabisa.
 
Hili la vyuo kutokua na vifaa au hosptal za karibu zenye vigezo vya kutosha kujifunzia kwa vitendo ndo tatizo kubwa na sugu.
Chuo hakina hata Clinic ya Mama mjamzito lakini mtu anasoma Radiography hapo, Hiyo Ultrasound anajifunzaje...!
 
Somea chochote bob, just keep in mind unakuja kutatua changamoto za watu na ndio zitakazokulipa. You can take anything you want ila angalia soko la nchini yetu limelala wapi? my recommendation kwa hapa nchini ingia kwenye masuala ya Afya, Kilimo, Technology, Transportation, Energy(Natural Gas), Agribusiness. Angalia unachosomea kinaweza impact vipi sekta kama izo na how valuable can you become by solving out problems via education.

Again, pick anything based on our problems hapa nchini especially vitu vilivyopo kwenye Dira. Fursa ndio matatizo yetu tunayoyaona.
Kijana aendane na soko la ajira na biashara, tofauti na hapo atakuweka vyeti ndani! Ila mimi ningemsahuri kusoma radiology bado in fursa nyingi sana, Hata hivyo, afanye kazi hiyo kwa muda tu, kwa sababu inaweza kuhusishwa na matarajio mafupi ya maisha (low life expectancy
Cc. Seran madam nimekumis njoo usaidie huku.
I miss you moe kijana wang, ulipotelea wapi?
 
Back
Top Bottom