Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,855
- 5,862
Madam mbona nipo kila siku humu ila nimepoa tu. Siku hizi nasoma threads, but soon nakuja na madini.Kijana aendane na soko la ajira na biashara, tofauti na hapo atakuweka vyeti ndani! Ila mimi ningemsahuri kusoma radiology bado in fursa nyingi sana, Hata hivyo, afanye kazi hiyo kwa muda tu, kwa sababu inaweza kuhusishwa na matarajio mafupi ya maisha (low life expectancy
I miss you moe kijana wang, ulipotelea wapi?