Nisome diploma ipi kwa ufaulu huu

Nisome diploma ipi kwa ufaulu huu

Dah
Wanafundisha wapi bongo?
Kama hamna asome Diploma ya Computer security then hiyo iwe major area kwake kama ataweza lakini. Maaa watu wanakimbia sana ma pointer double pointer triple pointer kwenye C pamoja na assemble yenyewe , wanaona kama mapepo 😅
 
Duuuh kumbee?
Pesa ni ya kawaida ya kula tu unafanya kazi katika Pressure na wakati mwingine mazingira magumu kidogo ukiwa Tamisemi ndio balaa una maboss hadi Diwani wa viti maalum ambae hata kusoma vizuri ni chenga allowances unaweza kaa miezi 7 unakuja kupata overtime 120k wakat uliomba 6, zinalipwa 2 unaambiwa Halmashauri haina hela!!

Hiyo Clinical medicine ndio balaa sasa kwanza wapo wengii hakuna mkoa hauna chuo kinatoa hii Programmes mbaya zaidi hawa ndio wadau wakuu wa Tamisemi ndio wanaajiriwa kwa 99% huwezi mpeleka Co wizara ya Afya huko RRH akafanye nini!!
 
Back
Top Bottom