kwann radiology??Kasome Radiology
kwann radiology??Kasome Radiology
Na kuna kozi nyingine sio maarifu sana ila ni nzuri, mfano mzuri ni Geomatics.Nakusihi usijaribu kusoma hizo diploma 2 za mwisho (uhasibu na BUSINESS ADMINI),
NAONA HATA WADAU WENGI WAMEJIELEKEZA KWENYE DIPLOMA NYINGINE HIZO ZA SCIENCE
Cheti kizuri kwa huko majuu unapopazungumzia bila shaka ni degreeUshauri kuntu, hata huko majuu ukiwa na cheti kizuri ni rahisi kupata kazi. Bahati mbaya kama ulivyosema bado vijana wengi halija waingia hilo.
Na sasa tuna degree pia na huko mbeleni kuna masomo ya specialisation ambayo watu wa nursing na medicine hawapishani kama Public Health na pia Epidemiology.
Mimi si mmoja wao bali nimefahamu watu wanaofanya nursing huko majuu (uk na usa). Na kuna mwaka nilisoma tangazo la uk wakitafuta registered nurses.Cheti kizuri kwa huko majuu unapopazungumzia bila shaka ni degree
. At least kuanzia gpa ya ngapi mkuu!!
Vipi wewe ni mmoja wapo wa wataalam au graduate wa hiyo course
.
Naomba unipe dondoo kidogo mkuu naipenda sana hii course yani ipo damuni aisee japo nasikia ina changamoto sana..
Hivi ni ipi maana ya N.O,E.N na R.N kwenye hii criteria ya Nursing..Mimi si mmoja wao bali nimefahamu watu wanaofanya nursing huko majuu (uk na usa). Na kuna mwaka nilisoma tangazo la uk wakitafuta registered nurses.
Mkuu kama nilivyosema siko kwenye fani hiyo hivyo itabidi utafute maana za hizo abbreviations. Lakini RN ni Registered Nurse. Google utapata taarifa nyingi tu.Hivi ni ipi maana ya N.O,E.N na R.N kwenye hii criteria ya Nursing..
Na huwa wanapatikanaje au upimwaji wao ukoje na majukumu yao ni yapi kama unaufahamu??
asante mkuu ngoja nicheki kwa msaada zaidiMkuu kama nilivyosema siko kwenye fani hiyo hivyo itabidi utafute maana za hizo abbreviations. Lakini RN ni Registered Nurse. Google utapata taarifa nyingi tu.
Nime Google: N.O,E.N and R.N in nursing;
Nikapata :What is the difference between RN and EN?
The scope of practice for an Enrolled nurse (EN) and Registered nurse (RN) are quitedifferent. The main difference is the qualification including education preparation and experience. ENs complete a Diploma of Nursing, which is a two-year course, and RNscomplete a Bachelor of Nursing, which is a three year course.Oct 29, 2019
Kaa hapo kwenye Electrical and Electronics ni calculations na drawings mwanzo mwisho notes na maelezo kwa uchache.Vip kuhusu engineering wakuu, ipi ni mwake hapo
Ndio, unaweza kufungua maabara yako ya private na cheti chako pamoja na leseni vikawepo maana diploma ndio ngazi ya mwanzo kusimamia lab, kupanda juu.kombaME,
Nami naomba msaada kidogo hivi kama mtu ana diploma ya laboratory anaweza kufungua maabara binafsi na yeye mwenyewe akawa ndo msimamiz/incharge?? Au incharge hadi awe na degree??
Ni nzurii sana hii?? MkuuRajabu Visenti, Biomedical engineering
Mkuu hebu nieleze kwa uzurii hii course kaka !!nimeona Arusha tec vp inafaa kutumbukiza mguu?Mim kwangu "i go for biomedical engineering..!! Inalipa sana then ipo marketable sana. Hawa watu wapo wachache nchini then unaeza pia kujiwjir
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome BEE HutojutiaNdugu zangu naombeni mawazo yenu, nisome diploma ipi Kati ya hizi. Nina vigezo vyote vya kujiunga na hizi kozi.
Mimi nataka kozi itakayo nipa fursa ya kujiajili na kuajiliwa
Diploma in pharmaceutical sciences
Diploma in electrical and biomedical engineering
Diploma in clinical medicine
Diploma in medical laboratory
Diploma in mechanical engineering
Diploma in electrical and electronic engineering
Diploma in Accounting and Finance
Diploma in Business Administration