Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,734
Rajabu Visenti,
Kama wewe kambi popote basi soma yoyote tu....yaani funga macho dondosha kidole kitakapotua itakayokubali ni iyoiyo....unapoulizwa unapenda kuja kuwa nani ilo ni swali la msingi sana na haitakiwi ulete ujanja ujanja katika kulijibu